Ushindi wa wenyekiti wa vitongoji 9 kwa chadema usa-river

Emashilla

Senior Member
May 24, 2012
138
26
Chadema inatarajia kushinda viti vyote tisa vya wenyeviti wa vitongoji kata ya Usa-River katika uchaguzi wa Jumapili tarehe 04 Novemba 2012
 
Chadema inatarajia kushinda viti vyote tisa vya wenyeviti wa vitongoji kata ya Usa-River katika uchaguzi wa Jumapili tarehe 04 Novemba 2012
sababu ya kushinda tunayo
nia ya kushinda tunayo
na uwezo wa kushinda tunao

KILA LA HERI CHADEMA
 
CCM wamejikuta wakihaha kutafuta wala rushwa ili wawalishe sumu. Lakini kwa Maeneo mengi hapa Usa-River wananchi wamekataa kula CCM bali watakula na kulala Chadema maana hawana haja ya kuuza haki zao. CCM hoi katika uchaguzi huu wa wenyeviti wa vitongoji/mitaa ya tisa katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Usa-River, yaani (1) Usa Madukani/Chemchemi, (2) Magadirisho, (3) Magadini, (4) Manyatta Kati, (5) Mlima Sioni, (6) Nganana, (7) Mji Mwema, (8) Kisambare na (9) Ngaresero

Uchaguzi utafanyika Jumapili tarehe 4 Novemba, 2012
 
Back
Top Bottom