Ushindi wa CHADEMA Arumeru Mashariki uko wazi

umejiunga leo tu,hata hivyo tunasubiri tuone
kujiunga na kwa kua jf member kwa siku nyingi zilizopita haimaanishi post zako zitakua na mashiko zaidi ya yule aliyejiunga leo, kama mtu ka post kitu cha ajabu hoji, aki post kitu kinachoeleweka msikilize pia
 
Ni kigezo gani ulichotumia kusema CDM watashinda ili hali unajua mbinu na fitna za ccm.
Mimi naamini kazi bado ni ngumu hakuna kulala.

Ukishamjua adui yako anatumia mabavu kupita kiasi kwenye mpambano,wewe tumia akili nyingi na maarifa kumkata ngembe, nguvu haiwezi kuishinda akili.
 
[h=6]Bless Mwego
[/h][h=6]nawashashauli wana Arumeru mashariki kumpigia kura SIOYI SUMARI kwa maendeleo ya jimbo lao kama wanabisha watuulize ss watu wa UBUNGO[/h]
 
[h=6]Tunasubia Kesi Ya Kupinga Ushindi wa CCM Arumeru maana Chadema kwa Kukimbilia Mahakamani.[/h]
 
[h=6]serikali hii ya awamu ya nne itakumbukwa daima..kwa nia ya dhati ya kukuza demokrasia ya vyama vingi..serikali isiyoendeshwa kidkteta...isiyofuatilia wapinzani wake, isiyo lazimisha mambo yanapokwenda kombo...tunatakiwa kwa umoja wetu tuipongeze bila kujali tofauti za kisiasa zilizopo...[/h]
 
gamba si linaungana na mguu kwenda haraka BUNGEN GOO ON SIOI SUMARI GOOOOOOOO
CCM CCM CCM CCM
magamba yanang'aa sasa
yanaonekana kila mahari
magamba yenye thamani ka magamba ya kakakuona na chatu
ni adimu saana kupatikana magamba
gamba moja SIOI LAPATIKANA ARUMERU
 
Mungu atawaongoza CDM kushinda

:cool2:kumtegemea Mungu bila ya kufanya bidii yoyote, hakuna maana. Mungu na kazi. Mungu kweli anaweza kuwa upande wa CDM, lakini kama hauna namna ya kuongeza kazi ya kushambulia, hakuna namna ya kushinda, au mmewasahau magamba?????
watu wa ARUMERU walinde kura zao wenyewe, mifano iko wazi, Mbeya mjini, Mpanda mjini, Mwanza mjini, moshi mjini, Arusha mjini, na kwingine kwingi. :lock1:
 
Hakiyamama nawaambia chadema hawashindi arumeru si mtaona , sijui mtaficha wapi sura zenu ?

Nani asijejua kuwa wewe ni kambi ya EL,mtoto wa kiume unapenda mteremko kwa kusifia wanaume wenzako utaolewa shauri yako
 
Back
Top Bottom