Ushindi wa CHADEMA Arumeru Mashariki uko wazi

TETILE

Member
Mar 21, 2012
38
9
Nasema ushindi wa CHADEM Arm-Mashariki uko wazi CCM kubalini matokeo kwani mkikubali tu mtakuwa mnaonesha ukomavu wa kisiasa.
Pia acheni vurugu,uongo,uzushi na siasa za kuchafuana.
Tafuteni sera zenye mashiko kama hakuna tulieni na kukubaliana na hali halisi (MATOKEO)
Tukutane kwenye kituturi Aprili Mosi
 
Wape maneno yao.
 
CCM wamekosa kujadili hoja zinazozingatia mahitaji wa ya wananchi wamebaki kuendesha siasa za vurugu.
Dah! Jamaa wametunyang'anya Daftari letu la Mlangarini wanafikiri wamemaliza kila kitu!
 
Inawezekana CCM hawana chao Arm Mashariki, but nakwambia,chaguzi zote walizoshinda vyama tofauti na CCM zinaonyesha kuwa wananchi ndo walilazimisha mshindi atangazwe. Watu wa arumeru MASHARIKI mkikaa kimya mtaona bila aibu mnatangaziwa mgombea ambaye hamjamchagua. Hakika nawaambia bila uzalendo wa hali ya juu MTASIKIA mnatangaziwa mmbunge ambaye siyo. Oneni LEMA,SUGU,WENJE,MDEE,MNYIKA,KASULUMBAYI,na wengine mazingira waliyotangazwa. Mwisho mbunge wenu wana Arm Mashariki yuko mikononi mwenu.
 
Ni kigezo gani ulichotumia kusema CDM watashinda ili hali unajua mbinu na fitna za ccm.
Mimi naamini kazi bado ni ngumu hakuna kulala.
 
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti - Daudi Mchambuzi

Inawezekana CCM hawana chao Arm Mashariki, but nakwambia,chaguzi zote walizoshinda vyama tofauti na CCM zinaonyesha kuwa wananchi ndo walilazimisha mshindi atangazwe. Watu wa arumeru MASHARIKI mkikaa kimya mtaona bila aibu mnatangaziwa mgombea ambaye hamjamchagua. Hakika nawaambia bila uzalendo wa hali ya juu MTASIKIA mnatangaziwa mmbunge ambaye siyo. Oneni LEMA,SUGU,WENJE,MDEE,MNYIKA,KASULUMBAYI,na wengine mazingira waliyotangazwa. Mwisho mbunge wenu wana Arm Mashariki yuko mikononi mwenu.
 
nasema ushindi wa chadem arm-mashariki uko wazi ccm kubalini matokeo kwani mkikubali tu mtakuwa mnaonesha ukomavu wa kisiasa.
Pia acheni vurugu,uongo,uzushi na siasa za kuchafuana.
Tafuteni sera zenye mashiko kama hakuna tulieni na kukubaliana na hali halisi (matokeo)
tukutane kwenye kituturi aprili mosi
mkuu karibu sana jf!!
 
Nasema ushindi wa CHADEM Arm-Mashariki uko wazi CCM kubalini matokeo kwani mkikubali tu mtakuwa mnaonesha ukomavu wa kisiasa.
Pia acheni vurugu,uongo,uzushi na siasa za kuchafuana.
Tafuteni sera zenye mashiko kama hakuna tulieni na kukubaliana na hali halisi (MATOKEO)
Tukutane kwenye kituturi Aprili Mosi

Wana-Arumeru wataamua kati ya NASSARI na SIOYI. Jf tunapiga blaa blaa tu. Si NASSARI si SIOYI mwenye uhakika 60% kuwa atashinda. Angalia kila kukicha Vyama hivi viwli vinapeleka watu wao tena vingine vimepeleka wale ndiyo lulu ya mwisho kwao, lakni ngoma bado nzito Ni dhalili tosha kwamba hali si shwari kwa vyama hivyo.
 
Alllo tukizubaa wataimba chorus yao kama kawida yao, Ameinama akainuka, Sioi kachukuakiti! tusiwaache wainuke, wakijidai kuinama tuwakandamize wainame na kukaa mazima yani! Its obviously that CDM tunachukua jimbo!
 
Mhhh. sijui , ila ni kweli kwamba CHADEMA bado hawana nguvu hiyo hasa uzingatia design ya kampeni zao
 
Mnajipa moyo! kwi kwi kwi teh teh teh!

Kawaida lakini , hata mgonjwa aliyeko ICU akitaka kukata kamba, utaona anaomba uji, na kuwatia moyo jamaa zake kumbe anakwenda. Ukishaona maneno kama ohh tunashinda, tunaibiwa, tunatukanwa n,kujue mazingira ya kukataa matokeo baada ya kuona ukweli kwamba hawana chao. Vyama vyote vitulie msema kweli ni wananchi wa Arumeru.
 
Hakiyamama nawaambia chadema hawashindi arumeru si mtaona , sijui mtaficha wapi sura zenu ?
 
Back
Top Bottom