Ushawahi pitia kama hii single father?

m-boy

Senior Member
Aug 20, 2023
147
477
Habarii hivi ushawahi kupitia hii

Ninaishi na bint wa miaka nane mimi ndio mama nyumbani tupo .

Usiku ninapika chai naiyacha kwenye chupa, asubui mm huwa ninawai kutoka kabla yake namuacha amelala wala simuamshi.

Akiamka anafagia wanja na kuosha vyombo, anakunywa chai na kwenda shule.

Ikiwa yeye atawai kurudi shule kabla ya mm anakula na kwenda sehem nyingine ambayo ni kwa ajili ya masomo ya jioni.

Ikiwa mm nitawai kurudi nitapika chakula cha mchana,

Ikiwa yeye atawai kurudi kuna mazingila nimemtengenezea aweze kula,

Vitu vya muhimu nilivyofanya,

Nina sim ndogo nimeacha ndani ambayo nimejiunga halichachi kwa maana muda wowote anaweza kupiga, nimemuandikia namba,za watu wa karibu ikiwa na dhalula awapigie nimewka funguo nje ili ikitokea amepoteza funguo au aliondoka na kuniacha mm nyimbani akasahau kubeba funguo akija aweze kufungua mlango

Nimeacha pesa ya dhalula ikiwa nimesahau kuacha pesa ya vitafunwa asubui akachukue pale anunue vitafunwa.

Changamoto ninazopitia ni ndogo sana lkn ninamshuku mungu nipo salama na bint yangu na maisha yanasonga,

Nawakaribisha mp kama kuna mwanamke amevutiwa na hii familia aje kuwa mtu wa 3, karibu mp
 
Kimkakati sana hili bandiko.

Ila sijaona ni wakati gani unafuatilia maendeleo yake Mkuu, kama mzunguko wa maisha yenu upo hiv ulivyoelezea huyo binti yupo kwenye mazingira hatarishi sana tofauti na vile unavyoweza kufikiri.

Huyo binti muda wowote anaweza kuwa mhanga wa ukatili na wala wewe usifahamu/kujua au ukaja kujua ikiwa ushachelewa.

Mtengenezee mazingira rafiki kwa umri wake Mkuu. Usimpore utoto wake ili tu wewe uweze kuishi kwa amani, kuna hatua muhimu sana hasa ikizingatiwa huyo ni mtoto wa kike. Anahitaji kuandaliwa vyema aje kuwa mama wa wanawe pia.

Ni ngumu kwa wengi kuelewa hili swala.
 
Habarii hivi ushawai kupitia hii

Ninaishi na bint wa miaka nane mm ndio mama nyumbani tupo .

Usiku ninapika chai naiyacha kwenye chupa , asubui mm huwa ninawai kutoka kabla yake namuacha amelala wala simuamshi,

Akiamka anafagia wanja na kuosha vyombo, anakunywa chai na kwenda shule.

Ikiwa yeye atawai kurudi shule kabla ya mm anakula na kwenda sehem nyingine ambayo ni kwa ajili ya masomo ya jioni.

Ikiwa mm nitawai kurudi nitapika chakula cha mchana,

Ikiwa yeye atawai kurudi kuna mazingila nimemtengenezea aweze kula,

Vitu vya muhimu nilivyofanya,

Nina sim ndogo nimeacha ndani ambayo nimejiunga halichachi kwa maana muda wowote anaweza kupiga, nimemuandikia namba,za watu wa karibu ikiwa na dhalula awapigie nimewka funguo nje ili ikitokea amepoteza funguo au aliondoka na kuniacha mm nyimbani akasahau kubeba funguo akija aweze kufungua mlango

Nimeacha pesa ya dhalula ikiwa nimesahau kuacha pesa ya vitafunwa asubui akachukue pale anunue vitafunwa.

Changamoto ninazopitia ni ndogo sana lkn ninamshuku mungu nipo salama na bint yangu na maisha yanasonga,

Nawakaribisha mp kama kuna mwanamke amevutiwa na hii familia aje kuwa mtu wa 3, karibu mp
Nimependa Maisha yenu Ila tu angalia usije ukaongeza mtu wa 3 baadae asije kusema namuonea wivu mama yangu wa kambo, ningeweza ningeolewa na Baba yangu mzazi

Mtoto ataanza kukudai umtie Mimba si unajua akifika 12 tu tayari ungo ushaanza kutaka kuvunjika, akikanyaga 13 ungo umevunjika hapo sasa hakamatiki tena
 
Kijana wa miaka 7 naishi nae geto mwaka wa pilii huu .
Nataman kuwekaa picha hapa ninazopiga naye Kila cku tukiwa zetu geto ,tukipika,tukifua,tukiangalia mpira yaan n full burudanii,,

Changamoto niliyonayo n yy ajuagi muda maalumu wa kusomaa anaweza shtuka usingizi saa Saba usiku akawasha taa akaanza kusomaa vitabu vyake mpk achoke ,ss mm akishawasha taa tu usingizi kwisha NAMI kumkataza kutokusoma nashindwa najisemeaga labda akisomaa muda huu ndio anaelewa zaidii

Kiukwel n msela wangu ,n rfk pia n mshikaji...
 
Mama yake yuko? Mapenzi ya mama kwa mtoto wa miaka yake ni muhimu sana. Hujatupa upande wa mama yake ni nini kilitokea, story ni kama ya upande mmoja. Kwa maslahi ya binti yako
Itakuwaa mpk mama hayupo kutakuwa kuna shda mahali ,

Ila muda mwinginee wanawake na wanaume sometimes tunazingua na wanaopata tabu baada kuachana n wtt,boraa huyu kaamua kuishi na Binti yake kuliko kumpeleka Kwa Shangazi au dada au kaka ,Bora kuubeba msalaba wako mwenyeweee ..na kumuomba tu MUNGU akulindie mwanao .
 
Ni ngumu San mtoto wa Kike kuishi na baba pasipo mama ni Bora hata mtoto wa kiume,. coz kama huyo mtoto wako kunakipind atavunja ungo itakuwa ni ngumu San kukwambia kama baba, especially hizi jamii zetu za ki Africa pia itakuwa kuwa siyo rahis hata wew kumpa masomo mbalimbali kuhusu jinsia yke( I think wakina mama hpa wanajua).
 
Mama yake yupo hai lkn hana makazi maalum, mama yake tulitengana miaka mingi iliopita binti akiwa mdogo baadae nikaja owa mwanamke mwingine, kutoka na maisha alikuwa anaishi kwa mama yake ilibidi nimchukue dogo nikae nae, baada kama miaka 4 ya kuishi mke niliekuwa nae amesema eidha aondoke yeye au mtoto arudi kwa mama yake,

Mama yake ni muhangaikaji leo yupo Dar anaweza kaa miezi miwili kesho ukasikia yupo Mbeya ,

Kiukweli mm nimekataa kumtoa mtoto ili nibaki na mwanamke kupitia hili mwanamke akaamua arudi kwao nimebaki na mtoto , kama ww unafanyaje??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom