Ushawahi kunusurika?

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,255
12,872
Morning,
Najua wapo watu wengi ambao walishawahi kunusurika ktk matukio mbalix2.Mie aunt yangu alinusurika ktk ajali iliyowaua watu 38 mbele ya macho yake! Ilikuwa hivi;walianza safari toka kijijini wakiwa watu zaidi ya 40 ndan gari aina ya coaster.walipofika kwenye daraja 1 hivi wakakuta daraja limekatika,basi wakawa wanajaribu kuvuka wakiwa ndani ya gari lakin aunt yangu alisita akateremka yeye na wengine wachache.gari iliondoka kufika katkat ghafla gari likasombwa na maji na kuua watu 38 akishuhudia!
 
so sad! Hiv yuko sawa mpaka leo? Kwan ingekuwa mie ningeathirika kisaikology mbaya.
 
kiukweli ilimchukua muda sana ku-recover. alikuwa kama kachanyikiwa hadi ikafika wakati anataka kukimbia pia alikuwa anapiga kelele sana na kulia. alikaa ndani kama mwezi mzima hivi. hiyo ilikuwa miaka ya 90's hivi. but now yuko sawa kabisa!
 
yah inaeleweka mie niliwah shuhudia mtu aliyejiua nikiwa mtoto huwez amin mpaka leo bint mkubwa lakin naikumbuka sura ya yule dada mwanzon nilikuwa naweweseka bt yalikuja kwisha ila taswira cjaisahau.
 
Ngoma ! Ngoma ! Ngoma ! Baabaake!
Mnusuriko na ngoma ndo mzima mpango! Nao deiz
 
yah inaeleweka mie niliwah shuhudia mtu aliyejiua nikiwa mtoto huwez amin mpaka leo bint mkubwa lakin naikumbuka sura ya yule dada mwanzon nilikuwa naweweseka bt yalikuja kwisha ila taswira cjaisahau.

duh,pole sana mamie!
 
Kuna uncle wangu mwingine pia alikuwa anafanya kazi jirani kabisa na ubalozi wa marekani nchini kenya mwaka 1998. mtakumbuka yale matukio ya ugaidi, walipozilipua balozi hizo. basi siku hiyo alikwenda job kama kawaida lakini baadae akawa hajisikii vizuri akaamua kurudi home. ile anafika home ndipo akasikia mlio wa bomu kutahamaki ndio akashuhudia ubalozi umelipuliwa na ofisi zao pia kupatwa uharibifu na watu kupoteza maisha. . .
 
Mimi nilishawahi kunusurika kugongwa na gari pale makumbusho Dar es salaam. Kisa kilikuwa hivi: nilikuwa navuka barabara sasa kukawa na gari aina costa likitokea kariakoo na lingine landcruser likitokea mwenge. Mimi nilikuwa tayari nimeshayabalance magari yote ila ilitokea landcruser vx na kuliovertake lile landcruser lingine basi nikajikuta natakiwa kuyakwepa magari yote matatu huku yote yakiwa kwenye mwendo mkali.
 
nimenusurika kupewa kibuti mara kibao tu mpk sasa sipo vizuri psychologicaly katika kutongoza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom