ushauri

sendisha

Member
Oct 11, 2012
26
0
mimi ni kijana wa makamo ya kati mkazi wa jijini dareslaam kinachonileta katika jukwaa hili ni kutaka ushauri kutoka kwa wanajamii wenzangu.nina mpenzi ambaye hatuna muda mrefu sana katika mapenzi yetu ni kama muda wa miezi miwili tu.kikubwa hasa ni kwamba wakati tukianza mahusiano hakunieleza kuwa alikuwa na mtu lakini leo hii takribani miezi miwili imepita ndio ananiambia kuwa ana mpenzi isipokuwa anataka kuchagua kati yetu ni nani anayecare zaidi ya mwenzie mwenye kujua utu wa mwanamke na mwenye heshima.kiukweli mimi binagfsi nampenda huyu msichana na yupo kwenye program yangu ya mahusiano ya muda mrefu si wa leo na kesho, kama ilivyozoeleka.mpaka sasa niko njia panda sijajua nifanye nini mawazo yangu pekee hayanitoshi nataka nipate mawazo ya wengine ili nipate uthabiti "consistence".yangu ni hayo kwa vijana wenzangu na wasio vijana naomba mnisaidie mawazo yenu.
 
huo ni mtego umewekewa

wewe mwambie kama mko wawili basi amchague huyo mwingine
wewe unajitoa ....jibu utapata
 
wee wala usiwe na presha kijana...hoyu sio goma la ukweli sasa wewe nawe muweke kama option tuu...jishikize tuu hapo huku unatafuta demu wa maana. kashakupa K?
 
wee wala usiwe na presha kijana...hoyu sio goma la ukweli sasa wewe nawe muweke kama option tuu...jishikize tuu hapo huku unatafuta demu wa maana. kashakupa K?

mda Mwingi Huwa Unavuruga Tu,
Hakuna Kulemba!!
 
Heee... Ina maana wewe na huyo mshkaji mwingine wote mnagonga?? Mmmh.. Mwambie achague mmoja tena haraka ili asikupotezee muda wako Kaka..!
 
Ktk Uhalisia Wa Kibinadam,Hlo Suala Haliwezekani Labda Awe Amerogwa,
Anataka Kupma Msimamo Na Utetezi Wako Kwake!!
Hata Siku Moja Mwizi Awezi Kumshtua Anaemuibia,So Hapo Pekecha Akili Kumbichwa!
Onesha Thamani Yake Kwako Kwa Kupinga Kwa Nguvu Zote!
Kamwambie Haukubali Aumizwe Na Mtu Yeyote Coz Wewe Itakuuma Mara Mbili Zaidi Yake,Hvyo Aendelee Kuwa Nawe Kwani Ndiwe Mwenye Kufuli La Maumivu Wengne Wana Ufunguo Wa Maumivu!!
(Hapo Kama Ulibaniwa Mzigo Na Mkawa Faragha Lazima Uegemewe Na Hata Kupewa K Kiulaini)
 
huo ni mtego umewekewa

wewe mwambie kama mko wawili basi amchague huyo mwingine
wewe unajitoa ....jibu utapata

Mwanaume bandidu weweeeee! Khaaaaaa! Utadhani mzee Okonkwo wa THINGS FALL APART!!!!! Hutaki kabisa kubadilika na TEKELINALOTUJIA!!!!! LOL! Nahisi wewe na Kingunge Ngombale Mwilu mngeelewana san kwenye itikadi zenu za ki COMMUNIST!!!!
 
Ktk Uhalisia Wa Kibinadam,Hlo Suala Haliwezekani Labda Awe Amerogwa,
Anataka Kupma Msimamo Na Utetezi Wako Kwake!!
Hata Siku Moja Mwizi Awezi Kumshtua Anaemuibia,So Hapo Pekecha Akili Kumbichwa!
Onesha Thamani Yake Kwako Kwa Kupinga Kwa Nguvu Zote!
Kamwambie Haukubali Aumizwe Na Mtu Yeyote Coz Wewe Itakuuma Mara Mbili Zaidi Yake,Hvyo Aendelee Kuwa Nawe Kwani Ndiwe Mwenye Kufuli La Maumivu Wengne Wana Ufunguo Wa Maumivu!!
(Hapo Kama Ulibaniwa Mzigo Na Mkawa Faragha Lazima Uegemewe Na Hata Kupewa K Kiulaini)

Hahahaaaa! Majigo umeanza vizuri kidogo niseme labda leo upo SABATO!!! LOL! Ila ngoma ya kitoto haikeshi si ndo ukaharibu mwishoni kwa kuleta habari za K tenaaa! Mjaa asili aachi asili atiiiii!
 
Naomba urejee signature yangu! Duniani ni SURVIVAL OF THE FITTEST!!!! Hapo you got 2 choices 1. Become fit and survive!!! 2. Perish and regret all your life!! SIKU ZOTE MWENYE KISU KIKALI NDO ANAEKULA NYAMA, SASA AMUA MOJA EITHER UNOE BISU LAKO OR USHUDIE NYAMA IKILIWA NA MWENZIO. Hili halina majotroooooo kabisa!!!
 
"You shall not server two Masters for you shall be loyal to one and dispise the other."
Dah kiukweli angalia future yako huyo atakusumbua maaana uko nae siku ukizingua anaenda kwa jamaa au atakuwa na nyie wote

"Tulizana.... Tuko wangapi?
TAC AIDS"

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mwanaume bandidu weweeeee! Khaaaaaa! Utadhani mzee Okonkwo wa THINGS FALL APART!!!!! Hutaki kabisa kubadilika na TEKELINALOTUJIA!!!!! LOL! Nahisi wewe na Kingunge Ngombale Mwilu mngeelewana san kwenye itikadi zenu za ki COMMUNIST!!!!

sasa we unaona mtu kama mimi naweza ambiwa
eti tuko wawili ,nawapima?

wanawake wanaangalia na mtu wa kumwambia...

mimi ukiniambia tu tuko wawili,nakwambia endelea nae huyo mwingine...lol
 
Hahahaaaa! Majigo umeanza vizuri kidogo niseme labda leo upo SABATO!!! LOL! Ila ngoma ya kitoto haikeshi si ndo ukaharibu mwishoni kwa kuleta habari za K tenaaa! Mjaa asili aachi asili atiiiii!

hahahahahah!
Uhuhuhuhuh!
Dah! "LARA 1" Jaman kwan Nimetukana?
Hicho Ni Kiungo Pekee Ninachokitii Duniani!
 
Binafsi sioni sababu ya kuja kuomba ushauri. Mtu kasha kuweka wazi kuwa hauko peke yako, sasa si jukumu lako kuona kama unataka kushare au laa. Na kwa taarifa yako si huyo jamaa tu, kuna wengine wengi kwenye mstari ambao huwajui..chukua hatua.
 
Kwa nini hakukwambia tangu mwanzo ?
Alificha nini ?
Mwanamke wa namna hiyo, ukiingia naye kwenye ndoa, tarajia kuwa mtaendelea kuwa wawili !!
Maana, ulishakubali kuwa mko wawili tangu mwanzo, sasa utakataaje huko baadaye ??
 
Kwa hiyo ukimtafuta na ukakuta yupo busy basi yupo kule kwa mwenzio anaonyesha uwezo. Au kakuona uwezo wako dhaifu so kaamua akuweke wazi.
 
Kwa nini hakukwambia tangu mwanzo ?
Alificha nini ?
Mwanamke wa namna hiyo, ukiingia naye kwenye ndoa, tarajia kuwa mtaendelea kuwa wawili !!
Maana, ulishakubali kuwa mko wawili tangu mwanzo, sasa utakataaje huko baadaye ??
kuna hatari ya kulea watoto siyo wako.
 
Back
Top Bottom