Ushauri wenu wana JF

d tarimo

JF-Expert Member
Jul 23, 2015
918
514
Habari za week end wana jamvi naomba ushauri wenu kabla sijafanya jambo LA kuishangaza dunia na walimwengu
Leo nimetua jiji LA Dar ikabidi ni mtafute mchepuko wangu wa long time ili tujikumbushe machache ya nyuma bila gundu mtoto amekuja mpaka hoteli niliyo shukia sasa nishapiga show ya kibabe Niko mapumziko kwa sasa nasubiri kipindi cha pili nimetoka nje kidogo akani text kama hivi

Baby wewe ni fire sana nimesoa kama alivyo andika sasa nawaza nirudi chumbani au laaah ushauri wenu wana jamvi
 
Na wewe umekubari kuitwa fire?

Kama umekubari, Rudi uuendlezee moto mpaka aombe feni impepee.. Mae
 
Back
Top Bottom