Nipo kwenye mpango wa kununua nyumba iliyo katika ujenzi ambayo imefikia kiwango cha rental na kozi mbili tayari, ina slab za mbele na nyuma (tayari zimeshajengewa). Imebaki kufunika na finishing nyinginezo tu. Nyumba iko Dar, Buza-Temeke; ina vyumba vitatu vya kulala vyote self na wastan wa ukubwa kila chumba ni ft. 14x14; Ina Jiko (pia kubwa); Store, Sitting room (ft est. 20x16); Dining rum, madirisha 10 (ft 6x7); milango 12; makalo ya vyoo bado; maji yapo (ameshavuta bado kuyaingiza kwenye system); umeme nguzo iko uwanjani kwake;
Je kwa Milioni za Kitanzania 25 (25M) zitatosheleza kukamilisha ujenzi huo ikiwa nitainunua kwa kuzingatia matakwa yafuatayo:
1. Bati nitumie zile ngumu za Aluminium 28g, (Maarufu huku uswahilin kwetu bati za msauzi)
2. Madirisha ya Aluminium
3. Milango ya Mninga au Mkongo
4. Gypsum ceiling board,
5. Tiles nyumba nzima
6. rangi zile za ndoo 140,000 or +
7. Makabati ya jikoni
8. Umeme
9. System ya maji kuingiza ndani
Please wana JF msada wenu: The Boss, Sanjo, Dancani, Tai Ngwilizi na wengine wazoefu wa mambo haya msaada wenu plz