Ushauri wako utanisaidia!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Nimeshtukia niko katika mahusiano na mdogo wa rafiki yangu sana niliyesoma naye sekondari. Nilikutana naye kwenye mishe zangu za chuo, na nimemsalandia zaidi ya mwaka mpaka kumpata. Nimejua kwamba ni mdogo wa rafiki yangu wakati tukifahamisha sehemu tulizotoka. I luv her n she luvs me. What should i do?
 
mgonge tu huyo demu ili udumishe urafiki wenu,we na my best friend wako wa skonga. Nalog off
 
kajitambulishe kwao....ili uje umuoe hapo baadae..

sio wataniona ntakapokuwa naenda kukamilisha? Lengo langu ndo hilo ila najiuliza, jamaa yangu atajisikiaje? Si mnajua tuko tofauti.
 
mpambe kisha msherekee..

tunaomba Mungu mambo yaende mstari tutapamba na kusherekea. Lakn kwa muda huo kutakua na harambee za kusomesha wadogo chuo nasikitika ntashindwa kukualika.
 
tunaomba Mungu mambo yaende mstari tutapamba na kusherekea. Lakn kwa muda huo kutakua na harambee za kusomesha wadogo chuo nasikitika ntashindwa kukualika.

hata mimi ntakuwa na harambee zakusomesha wakubwa QT ntashindwa kuhudhuria..
 
Nyalotsi, umeshaanza safari na kufika mbali ndio unaomba ushauri?

Anyway, kwa sababu umeamua kuanza mauhusiano na bint ambaye tuna- assume umempenda hakikisha unafikiri kutunza heshima ya rafiki yako .. changua mawili...
  • Kama mawazo yako ni "Hit n' Run" .. nashauri umwache binti mara moja...madhara yake yatakuwa makubwa kuliko unavyofikiri..
  • Kama mnapendana, manaaminiana, na unategemea kupeleka uhusiano to the next level - then go ahead..
Otherwise, akili kichwani na heshima mbele!
 
Back
Top Bottom