Ushauri wa msingi kwa waliooa tu

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Kwanza napenda kuwapongeza na kisha niwape moyo, Kuoa ndio ishara ya dhati ya uanaume na pili ndio sifa halisi ya mwanamme mpiganaji, kuoa kuna kwenda na responsibilities nyingi sana, tena nyingi huwa hazionekani kabla ya kuoa, moja wapo ni kuwa the bread winner of the family, umlishe,umvishe, mkeo na watoto, ndugu na jamaa zake sio kazi ya mchezo ni moja ya responsibility kubwa sana za kiuchumi kwa wanaume.

Bila kuwachosha, iweje uhofie mke wako kwenda nje ya ndoa, nini kina kupa hofu, tafadhali bwana, kitu cha msingi cha kukumbuka ni kwamba mkeo hakufata kwako chakula,nguo,gari,nyumba wala nini, kaja apo kuchapwa nao, tuacheni uzembe, tupige kazi za uhakika nyumbani hautasikia ujinga ujinga wa mafala kumsumbua mkeo. Ni hilo tu, naomba kila aliyeoa leo apige bao japo tatu.

Nawatakia maisha mema katika ndoa zenu.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii u hav cracked my ribs leo kha! haya kazi kwenu, ila moi no doc's msiteguane na kuvunjana viuno!
 
mmh...............haya bwana sina hata comment ila niulize kama wewe utakuwa unamtia tu pasi mapenzi kweli ataacha kutoka?
 
Unawaingiza chaka! Sio kila mtu anafuata naniliu tu kwenye ndoa na mahusiano! Emotional fulfilment ina sehemu kubwa zaidi. Kupendwa na kuthaminiwa ndo mpango mzima, wa ndani na wa nje.

Napita tu mama nisipitwe.
 
funny kama hau connect na mkeo emotionally..
hata upige kumi kila siku...anaweza kumzimikia anaepiga kimoja tu kwa wiki...
wanawake acha tu....
 
Hehehe! Baelezee! Unasweaaat wakati mwenzako anajiuliza anamaliza saa ngapi mie nikaende kwenye dear hobby (tamthilia,lol)

nimeshtuka mimi na wewe tumeandika the same post at the same time..
still shocked here...
 
Unawaingiza chaka! Sio kila mtu anafuata naniliu tu kwenye ndoa na mahusiano! Emotional fulfilment ina sehemu kubwa zaidi. Kupendwa na kuthaminiwa ndo mpango mzima, wa ndani na wa nje.

Napita tu mama nisipitwe.
Unafikiri utataka kumfurahisha mtu ambaye haumpendi na kumthamini? au unafikiri nazungumzia kubaka wake zetu nini?
 
Sasa kumpenda na kumthamini huku unamcheat, unamdanganya, unampiga, humshirikishi mambo yanayowahusu (anatoka kuoga anakuta mamako kaingia na sandarusi kuwatembelea!) And all that? Emotional connection ni muhimu, unaweza kudhani unamfurahisha kumbe unamkirihisha baba, am just saying!
Unafikiri utataka kumfurahisha mtu ambaye haumpendi na kumthamini? au unafikiri nazungumzia kubaka wake zetu nini?
 
funny kama hau connect na mkeo emotionally..
hata upige kumi kila siku...anaweza kumzimikia anaepiga kimoja tu kwa wiki...
wanawake acha tu....

The Boss, sijakuambia ukambake mke wako, najua wanawake ni vichaa, lakini ukibahatika kuwasikia vijana wanaokula wake za watu wanachokisema ungeshangaa, wanawake wengine wanafurahia tu kwa sababu wakati wanashughulikiwa wanapigwa pia au wanatukanwa, wewe naomba katika hayo matatu la kwanza umpigie sebuleni.
 
Hata hao serengeti boy hawajui why tunawa-opt. See this: umeamka unajiskia kuumwa, mume yuko busy hana hata nafasi ya kukupeleka hospitali wala kuulizia afya yako. Ila dereva wako anakuuliza hali, anashuka mbio kukuletea maji ya kunywea dawa na kesho anakumbuka kuuliza 'mama unaendeleaje?'. Ukitoka hosp unafika home mume kavuta mdomo utasema yeye ndo kabeba mimba inamtia moods! Huyo dereva anawezadhani anafuatiwa perfomance bila kujua anapendewa kujali tu (hata kama he is paid for that)

Ni mfano tu nimetoa! Same as wanaume wanavyodai wamasukumizwa kwa hausigeli na wake zao, pengine na wanawake pia wanapata the same challenge.

Back
Top Bottom