Ushauri wa mh. Freeman mbowe kwa wanachama wa chadema

Mwaka huo uliouandika nakubaliana na wewe lakini 2015 ni ndoto chadema kuchukuwa nchi.

Zomba hana chuki na chadema au mwana chadema isipokuwa Zomba hakubalini na namna chadema wanavyoendesha siasa zao. Kwa mtazamo wangu, viongozi wa chadema wapo ki maslahi yao zaidi ya kutaka maslahi ya wengi. Mifano ni mingi tu, msome TUNTEMEKE.
Aaaah ukiyataka makosa ya kimaandishi toka kwangu mbona mengi tu..Wee endeleza ushabiki wako miye huko siko ila kuna wakati mkuu wangu unaucheza hadi unapitiliza kama Sunday Juma..Namshukuru Mungu miye sina chuki wala sikubaliani na uhasama wenu wa chama ila kuitakia kila la kheri jamii yangu ya Watanzania..Na maneo ya Mwenyekiti yamenigusa sana tofauti na JK anapozungumzia maswala kama haya..
 
"Hawa wanachama wa vyama vingine tusiwaone kama madui, bali tuwaone kama wenzetu ambao hatujafanya jukumu la msingi la kuwahamasisha na kuwaelimisha waweze kuunderstand umuhimu wa kujiunga na CHADEMA.

Tuone kama tunajukumu la ziada, tuna kazi ya ziada ambayo pengine hatujaitekeleza ya kuwashawishi na kuondoa kiza chochote ambacho kiko mbele yao ambacho kinawakwaza katika kujiunga na harakati za CHADEMA.....
.

Umeyasema mazuri lakini ni too late. Waswahili hunena "Samaki mkunje angali mbichi".
 
Back
Top Bottom