Ushauri wa bure

Mbeke

Member
Aug 5, 2012
30
3
Rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kipindi anasoma secondari...alimpenda sana!ijapokuwa ilikuwa ni distance love ikifika likizo lakini rafiki yangu hakuthubutu kumsaliti mpenzi wake!aliamini wanapendana kweli though msichana alimzidi mwanaume mwaka!alijua tofauti hiyo baada ya kuwa in love tayari!na kwakuwa alimpenda KWELI tofauti hiyo aliweka pembeni na kumheshimu mpenzi wake huyo!kumjali na kumtii kwa kila alichokisema...hakuchelewa kusema samahani kila alipohisi amekosea....hakuwahi kuwa na mpenzi kabla ya hapo hivyo aliamini huyo ndio true love wake!baada ya kumaliza sekondari waingie chuo...mambo yakabadilika!mpenzi wake huyo akabadika na kupunguza mawasiliano na huyu msichana..dada ndo akawa wa kupiga simu,wakutxt na asipofanya hivyo basi siku zinapita hawajawasiliana!
Siku moja jioni...yule mvulana akamtxt huyo rafiki yangu kuwa anaomba wachati...dada akafurahi lakini furaha yake ilifika kikomo baada ya mpenzi wake kumwambia hakuwa true na penzi lake!......alipomuuliza sababu,akasema amerudiana na mpenzi wake ambaye waliachana kabla ya kukutana na huyo rafiki yangu!ila kama atataka wawe wapenzi tu ila sio zaidi ya hapo yaan NO FUTURE!sijui ni waambieje...hivi sasa rafiki yangu amevunjika moyo na haamini mwanaume yeyote...muda mwingi anawaza na kulia!binafsi nimemshauri imeshindikana...nimeamua kuliwakilisha kwenu waheshimiwa ili tumsaidie huyu binti....bado anasafari kubwa kimasomo!naomba tujadili hili.asanteni.
 
Mwambie mambo ya mahusiano ndio yalivyo...Ukiwa na mahusiano na mwanaume/mwanamke inabidi ujiweke tayari kwa lolote maana huwezi kuusoma moyo wa mwenzio ujue anawaza nini juu yako... Cha msingi kwa sasa azingatie hayo masomo yake, na aendelee kuamini iko siku atampata mpenzi wa kweli...!
 
Aaah bado tu watu wanaumiza mioyo yangu kupenda kupita kiasi? Pendeni kama mko kwenye basi muda wowote unafika kituo chako unanashuka yamekuishia

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Ndivyo mapenzi yalivyo japo ni ngumu kukubali ukweli...namshauri akubali mkweli ajitahidi kuwa busy na mambo yake na apende kuwa na rafiki zake hiyo itamsaidia kumsahau huyo jamaa yake
 
kwanza mpe pole. wee mwambie hivi; wanaume ni dogs na wanapenda kuonjaonja sasa kama vipi yeye atulie pembeni kama atakikuumizwa.
 
pole sana dada jitaidi kujishughukisha na mambo mbalimbali iliuwe bize na pendelea kumshirikisha mungu kwa mambo yako naimani yy ni muweza wa yote na atakusaidia tu dada yaku kuwa na imani iyo
 
kwanza mpe pole. wee mwambie hivi; wanaume ni dogs na wanapenda kuonjaonja sasa kama vipi yeye atulie pembeni kama atakikuumizwa.

Hapa tutake radhi sisi sio kama dogs sisi nikama majogoo yanasikia raha yanapo kimbiza kitu na kukila dam inachemka, kakipoa unakiacha kikimbie tena unakimbiza kingine. ha haha .
 
ushauri wa Bure....ni vijana wa kiume wachache ambao unaweza kuwa na mahusiano yenye future ambao wapo chini ya 30 yrs, namshauri akubali kuwa amepata experience na asitafute wa kuziba pengo kwani ataangukia pabaya, ni vizuri atulie amshirikishe Mungu haja za moyo wake atafanikiwa
 
Back
Top Bottom