Ushauri wa bure kwa ndugu zetu wa visiwani

na hao wazanzibari wanaolalamika na kufanya huo upumbavu wote ni wale ambao wamepigwa na maisha, mbona viongozi wao walioko madarakani hawafanyi huo upumbavu na kutoa hayo matamshi ya kihuni.

kaka umeishiwa na hoja na sijui chadema inalalamika nini huku tanganyika si wavunje chama tu maana sifikiri kama mtei , slaa , mbowe wana shida

masikini great thinkers na ugonjwa wa kuota zanzibari tuuuuuu ,

wameisahau tanganyika yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom