Ushauri wa Bure kwa CHADEMA

Asante kwa ushauri naamini wataupata lakini kifupi M4C kwasasa inapita kiala kata na kuko kusini kuna sehemu walikuwa wanapita mpaka kijiji kwa kijiji naamini mpaka kufika 2015 yatakuwa wametimiza siku fika tu kuhakikasha wana kuwa na viongozi kuanzia ngazi za vijiji...Kuhusu kuambiwa watawafanyia nini mbona wanaambiwa au wewe ni gamba
 
Chadema ili ijihakikishie ushindi wa kimbunga wa Urais na Wabunge 2015 ifanye yafuatayo:
1. Ijiimarishe zaidi vijijini katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani
2. Iwasake mamluki wote ndani ya chama na kuwaonya/kuwafukuza
3. Isiwaendekeze wanajiunga nayo kwa tamaa ya madaraka
4. Ianzishe vyombo vyake vya habari kama magazeti na redio na kuimarisha mawasiliano ya mitandao ya kijamii.
5. Ianzishe miradi ya kuitegemeze chama ili kisitegemee ruzuku.
6. Ianzishe utaratibu wa wananchi kujiunga nayo kwenye mtandao.
7.
8.
9.
ONGEZEA...............
 
Wahamishie makao makuu yao JF maana hapa kuna mapolitiko analisti na stratejists wanaoweza kukipeleka chama magogoni lakini cha ajabu wao hawajawahi kushinda hatau uchaguzi wa monitor darasa la nne A.
 
kaka nakubaliana nawe mambo mengi sana na machache tunayotofautiana hayatowi zana kamili ya ushindi wa ccm 2015.na mwisho swali langu kwa hivi vyama vya upinzani,ni kweli vinalengo la kumsaidia Mtanzania au kunajambo zaidi ya hapo. Kwani lengo kama ni jema mbona njia hazionyeshi amani umoja na mshikamano,mbona lugha zinazotumika hazionyeshi ukomavu wa siasa.CCM inanafasi tena kubwa tu na si muda haya maneno yatatimia.

ndugu yangu makonda unajiyahid sana kuzungumza kuhusu aman lakin unasahau kuwa haki ikikosekana the next is automatic disaperance ya hiyo unayoita amani.
Nlikusikiliza kwe tuongee asubuhi majuma kama mawili hv yamepita kwa jinsi ulivochangia ni wewe bila shaka ni wewe,ulikuwa very general katika kujadili swala la amani,majibu yako yalikuwa hayatoshelezi,ulikuwa umejaa uzalendo wa kiccm kiasi cha kusahu kuwa vurugu nyingi za kisiasa nchi hii ni matokeo ya serikali kukandamiza haki ya kisiasa vya upinzani.
Na katika hili chama chako hakiwez kukwepa ka ni lawama kwa kwa sababu wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama katika ngaz nzote ni makada wenu,je polisi wanapoenda kusambaratisha mkutano wa chama cha upinzania wanafanya vile kwa matakwa yao au ni order toka mkuu ambae ni either waziri husika,mkuu wa mkoa au wilaya?
 
Naunga mkono ushauri wako, na naongezea kuwa waangalie pia na swala la ukanda, wapo watanzania wanaohisi chadema ni chama kinachoegemea na kupendelea kaskazini, na kwamba kinaongozwa kwa maamuzi ya watu wacheche. Kama ni tuhuma za kweli au sio kweli hiyo siyo ishu, ishu ni kwamba watu wanaamini hivyo na chadema inabidi chadema wajipange kuwaonyesha watanzania kwamba hawako hivyo, vinginevyo wanapoteza baadhi ya kura.
 
Back
Top Bottom