Ushauri wa bure kwa bwana Shabani Selema dhidi ya kesi ya mh. Tundu Lissu

patriq

Senior Member
Apr 17, 2012
145
53
Baada ya hakimu mzuna kusoma hukumu iloyompa ushindi tundu lisu na kumhalalisha kuwa mbunge halali wa singida mashariki, mlalamikaji wa kwanza ndugu shabani selema ambaye ni "wa kwetu" namshauri ajiunge na kambi ya cdm ili tulete maendeleo endelevu katika jimbo letu.

Ni huyu huyu shabani ambaye nilimshauri last month na hata last week kwamba aachane na kesi hii amtose njau na kujiunga na m4c akanigomea, leo ameumbuka. Hata hivyo naomba wana cdm na wana makiungu wote tumshauri mwanakijiji mwenzetu ili kesho tundu atakapokuja kuhutubia pale viwanja vya stendi ya zamani ya mabasi, shabani ajivue gamba, atubu dhambi zake za ugamba, na apokee ubatizo mpya wa cdm.

Vinginevyo shebe utaendelea kupoteza umaarufu wako ukiendelea kumsikiliza mh aliyeshindwa na rafiki yako hanje. Nakushauri hamia huku.... Ushauri wa bure.
 
Kwa kuwa hii kesi ilisikilizwa Singida mjini, na ilionekana kuwavutia wengi na Mungu Mkubwa matokeo yamekuwa +ve kwa chadema basi naamini huu ni upepo mzuri sana kwa chadema kujikita Singida mjini na hatimaye upepo huu kusambaa Singida yote.
Hapa hapa ndo pakushikilia kabla upepo huu haujapoa.
 
Pia nawashauri vijana wa ikungi waamke mtaji tunao, tusibaki kwenye matembe na kuishia kuzeeka kwahali ngumu, nguvu tunazo cdm ndo jembe letu mungu atupe nini tena. Tutumie mitandao kuhamasishana, mikoa mingi vijana wako fit, tuwaige nasi tutafanikiwa.
 
Nawashauri wananchi wa singida washikamane na TUNDU LISSU ni mkombozi wao! Na wahakikisha wanawaelimisha wananchi wengine wajiunge na cdm kama wale wa iramba! wawaelimishe!
 
Nawashauri wananchi wa singida washikamane na TUNDU LISSU ni mkombozi wao! Na wahakikisha wanawaelimisha wananchi wengine wajiunge na cdm kama wale wa iramba! wanawaelimishe wananch
 
mwelimisheni huyo Shabani,atajua tu,ikibidi afanyiwe maombi ya nguvu ili pepo magamba limtoke kwa jina la yesu,
 
Hayo ndiyo matokeo ya kupeleka mashauri yasiyo ya msingi mahakamani.na kupoteza fegha za walipa kodi bila sababu za msingi.hongera kamanda lishu chapa kazi kwa wananchi wa singida mashariki.
 
Nani kasema kwamba ukishindwa kesi uhamie kwa aliyekushinda? sasa je huko watahamia wangapi.....!!!
 
nani kasema kwamba ukishindwa kesi uhamie kwa aliyekushinda? Sasa je huko watahamia wangapi.....!!!

issa sharafi; sauti ya wengi ni sauti ya masiha. Karibu nawe tukutakase uwe mmoja wetu mpakwa mafuta wa mungu. Uwe na moyo wa ujasiri kwani if u can not defeat the opponent then join him/her. That would be a better solution for you to survive. Karibu bwana anakukaribisha achana na siasa za majungu za chama cha jk. Karibu mwana
 
Nyie nendeni mkale pilau, yeye anatumia HAKI YAKE YA KIKATIBA, tupo pamoja nae kudai haki!! Toka Mungaa, Ikungi hadi Makiungu
 
Back
Top Bottom