HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,150
Ukweli ni kwamba nyinyi wenyewe upinzani hamkujipanga kwa mbinu.
Tatizo mnafikiri kila mmoja ana akili mgando na hayo ndio matokea yake.
Kitendo alichokifanya Mheshimiwa Lowasa kwa mtu yoyote/yeyote mwenye akili timamu hata kama angekuwa mpenzi wa dhati wa Lowasa kipindi alipokuwa CCM, kwa kweli hawezi kumfuata Mheshimiwa Lowasa kwa vile ameingia Chama kipya.
Imeonesha ni kiasi gani Mheshimiwa Lowasa alikuwa na uchu wa madaraka kupita maelezo