Ushauri unahitajika; Nina mimba, nimegundua baba kija anani-cheat na bestfriend yangu

Nimepata hasira na maumivu jamani, na hiyo hali hata huruma hana? Na the way dada wa watu alikuwa anamsifia mpenzi wake kwa uzuri humu ndani, this people are so shameless..!
Haha me nimecheka tu nikasema hihiii wanaume hawa sio watu wa kuwaamini 💯 ingawa wastaarabu wapo sema ndio vile kumi kwa mmoja.
Pisi alisema baby dady wake anampenda sasa kama unajua mwanaume anakupenda unamchunguza wa nini? Sijakutana bado na mwanaume anayeridhika na KE moja ' akiwa mstaarabu na mwenye heshima basi ana wawili.
Baba angu mwenyewe siamini kama ana mama tu 😀😀
 
Asante dear, yani kilichoniuma zaidi ni rafiki yangu wa karibu mnoooo yani sanaaa na mpaka mapicha ya uchi wanatumiana
Nimejaribu nipotezee naona peke yangu siwezi moyo unaniuma sanaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna mwenzio namfahamu alipatwa na kesi exactly kama yako. Ni miaka miwili na nusu imepita sasa na ameshasonga mbele. Kwa sasa lia ili sumu ikutoke na ukielemewa ukaanza kupatwa na mawazo mabaya ongea na mtu unayemwamini mf. Mchungaji/Sheikh wako na hata mama yako au shangazi uliye na ukaribu naye. Pia rudi katika maombi/sala kama u muumini. Ongea na Mungu wako na uwe naye kwa ukaribu. Utashangaa baada ya muda maumivu hayo yataanza kupungua pole pole; na mwishowe moyo wako utaanza kupona.

Kumbuka kuwa una kiumbe hicho kimalaika cha Mungu tumboni mwako. Itakubidi ujifunge kibwebwe sana usichukue maamuzi ya hasira kwa sasa. Tulia kwanza mpaka hasira zitakapokuisha na maumivu yatakapopungua. Kilee kiumbe hicho kwa mapenzi yote iwezekanavyo.

Nitamuuliza huyu mwenzako aliyepatwa na mkasa kama wako na kama akinikubalia basi nitakupa namba yake muwasiliane. Tatizo yeye hayupo JF labda angeona post hii. Naamini atakusaidia kwa sababu hata yeye alipambana mno hasa baada ya jamaa yake huyo waliyedumu naye kwa miaka 6 kumuacha na mimba yake na kwenda kumuoa huyo best wake...japo huko nako tayari walishamwagana na sasa mwanaume anapambana kufa na kupona arudi kwa huyu aliyemuumiza na kumuachia makovu haya yasiyofutika....

Mungu Akusaidie na kukutia nguvu. Hatakuacha
 
Hahahahaha haya mambo yanauma ujue hawa wanaume sio ndugu zetu kabisa mwisho wa siku lazima akuumize tu
Ni mbaya sana kuumizwa na mtu uliyekuwa ukimuamini. Dah Pisi kali pole sana mwaya najaribu kukufeel ila inakuja kama inakataa hivi.
Bora baby angecheat na mwanamke mwingine asee na sio rafiki yako maana hapo maumivu ni Mara mbili.
Amka hapo ulipo mwaya kunywa maji uoge ujitahidi hata kunywa chai mama K utalalaje bila kula jamani 😥
 
pisi kali ( hili jina nikilionaga humu napataga hisia flani ivii za sayari ya jupiter)

all in all pole sana , wanaume kucheat sio kwamba hakupendi tumetawaliwa na matamaa yasiyoisha

relax....calm down and then talk to him as why he do so


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait ..ni mume au mzazi mwenzio mtarajiwa?....
Kama SI MUME HALALI stop crying..sio wako huyoooo... Kama n mume halali vumilia. Lia na hakikisha umelia sana hasira ziishe...then kunywa maji..ingia Google jifunze jinsi ya kutunza ujauzito...routine for a health pregnancy and deliver....keep yourself busy....
oooh no..I'm so empty headed sina maneno mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What if Ukijinyonga? Yeah...jinyonge ili uondokane na stress. Kisha jamaa ahalalishe kabisa kwa kumuoa. Unajiita Pisi kali afu unakua na stress? Au best yako ni Pisi kali kukuzidi? KAMA HUWEZI KUJINYONGA ILI UONDOKANE NA STRESS, FANYA KAUSHA NA ANDAA KISASI ILI UTOE SOMO.

NB: KISASI kisiwe cha kukufanya uhudhurie mahakamani daily kama wabunge wa CHADEMA.
Thanks mamy
Yani nina stress tangu mchana


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom