Mr Kiroboto
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 350
- 87
HESHIMA MBELE WAKUU
Kuna kijana amenunuliwa laptop(lenovo),laptop hii ilikuwa tayari inatumia window vista,sasa kijana haitaji hii vista badala yake anahitaji window xp.Window xp anayo ila tatizo ni kwamba kila anapojaribu kuinstall huwa inagoma.Uanza vizuri ila kabla ya kumaliza kukopy file huwa kuna messege inakuja inasomeka kuwa " A problem has been detected and window has been shut down to prevent damage to your computer.If this is the first time you have seen this stop error screen,restart your computer,if the screen appears again,follow these steps,check for virus on your computer,Remove any newly installed hard drive or hard drive controler,check your hard drive to make sure it properly configured and terminated" wakuu yote yamefanywa hayo ila tatizo lipo palepale.
sasa wakuu wenye utaalamu wa haya mambo naomba ushauri nini kifanyIKe hapa pia kama kuna tofauti yeyote katika kuinstall window xp katika desktop na katika laptop,ni hivyo tu wakuu
ndimi mwenzenu mr kiroboto aka mjukuu wa msolopa

Last edited: