ushauri tafadhali!

Heeeh! U call him an innocent child pamoja na kuiba nguo ya jirani na kuiuza!
Amazing!kila mtoto aliiba once in a life time. Nilishawahi kudokoa tshs 20, aisee nilifanyiwa interrogation kama ya fbi na kupata share yangu ya mboko. Hadi leo nikiona mtu kaangusha hela namstua!

na ukikuta bank zimezidi unauliza why? lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom