ushauri tafadhali!

kajiti

Member
Oct 19, 2011
59
7
Juzi rafiki yangu kaniomba nimpe ushauri kwenye suala hili hapa!

Mtoto wa rafiki yake inasemekana ameiba nguo ya mtoto wa jirani na kuiuza. Na hapo alipoichukua hawapati na hiyo familia na hiyo familia wamesha fahamu hilo ila wapo kimya. Mtoto baada ya kifinyo kirefu amekubali kuwa ni yeye aliiuza nguo hiyo sababu za kufanya hivyo hazipo.

Wana JF hebu niambieni huyo mwenye mtoto atatueje hili jambo
 
Kwa sababu aliyeiba nguo ni mtoto cha muhimu ni watu wazima kukaa chini wakaongea yakaisha. Kama ni nguo anaweza aka nunua na kujilejesha.

Mwambie huyo rafiki yako amshauri rafiki yake jinsi ya kumlea mtoto ili asiendelee na tabia za wizi.

Lakini hiyo ni ishu ndogo.
 
Inabidi kuzungumza, ku'apologize' na kulipa...

Nadhani hii itamfundisha jinsi ya kuishi na watu bila ugomvi
 
Kwa sababu aliyeiba nguo ni mtoto cha muhimu ni watu wazima kukaa chini wakaongea yakaisha. Kama ni nguo anaweza aka nunua na kujilejesha.

Mwambie huyo rafiki yako amshauri rafiki yake jinsi ya kumlea mtoto ili asiendelee na tabia za wizi.

Lakini hiyo ni ishu ndogo.

Asante kwa msaada
 
Malezi ya watoto ni ya jumuiya (staki kuuliza kwa nini majirani hawapatani). Kwa faida ya mwanae, amkamate mkono ampeleke kwa hao jirani. Wamkalishe chini, tena achapwe na wazazi wote wawili. Na wamuambie akiendelea kuiba kuna siku ataishia na tairi ya shingo. Kuna video humu ya mwizi akichomwa, wamuonyeshe kwa pamoja manake wanalea ufa watajenga ukuta.
 
duh achapwe na wazazi wote wawili?
duh....iliwahi kukutokea hiyo?
sipati picha lol
 
Ofcoz ilinitokea. Nilimu-imitate jirani, akanicharaza. Nikadhani nimeonewa nikaenda kuhadithia home. Mama alikamata mkono tu, tukaenda kugonga hodi. Nikahojiwa, mama nae akanipa mboko zangu 3 mbele yake. Nikaomba msamaha. Huwa namkumbusha huyo neighbour anacheka sana!

sasa fimbo za utotoni mnazirudisha kwa innocent children naona lol
 
Heeeh! U call him an innocent child pamoja na kuiba nguo ya jirani na kuiuza!
Amazing!kila mtoto aliiba once in a life time. Nilishawahi kudokoa tshs 20, aisee nilifanyiwa interrogation kama ya fbi na kupata share yangu ya mboko. Hadi leo nikiona mtu kaangusha hela namstua!
sasa fimbo za utotoni mnazirudisha kwa innocent children naona lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom