Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 635
Last week niliomba ushauri juu ya laptop yangu inayopata sana moto ninapokuwa naitumia ikiwa connected kwenye ac power.
Wanajamii mlinishauri vitu vingi tu, nasema asante. Miongoni mwa mambo mliyonishauri ni kufikiria kuhusu kununua laptop nyingine.
Sasa nimejaribu ku google na kutafuta model na specifications ninazohitaji nimepata nyingi tu. Sasa tatizo ninaloona hapa ni kwamba, bei zilizoandikwa kwenye mtandao ni za juu ukilinaganisha na bei za wadosi wa hapa bongo ingawa models zinaonekana kuwa zinafanana.
Swali, je hizi hapa zina tofauti gani na zile za kwenye mtandao? Bei za kwenye mtandao(in terms of dollar & Euro) zinalipika, sawa, ila kama products ni sawa hii imekaaje?
Nawasilisha............