Ndg zangu Wanajamii,
Nimekwama naomba ushauri, nimepata mkopo wa TZS milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa jumla masokoni.
Ombi langu wenzangu, mwenye ufahamu wa biashara hii kabla sijaianza naomba tafadhari shule. Natanguliza shukrani.
MwanaJamiiForums.