Ushauri: Nina Mkopo wa TZS Million 5, nataka kununua gunia za Mchele toka Mbeya kuleta Dar, inalipa?

mt halisi

Member
Nov 4, 2014
49
8
Ndg zangu Wanajamii,

Nimekwama naomba ushauri, nimepata mkopo wa TZS milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa jumla masokoni.

Ombi langu wenzangu, mwenye ufahamu wa biashara hii kabla sijaianza naomba tafadhari shule. Natanguliza shukrani.

MwanaJamiiForums.
 
Ulikopa kwanza bila kulichanganua wazo vizuri?? kwa hiyo gharama yote hadi kufikisha bidhaa sokoni hukuwa umepiga mahesabu? umekopa tu 5ml halafu ndio uje uanze kuipanga utakapopata uchanganuzi juu ya biashara hiyo? wewe ni risk taker upo vizuri, basi subiri watakuja wataalamu wakujuze.

Embu jaribu kuangalia uwezekano wa kuchukua mchele toka Morogoro, jaribu kuuliza watu wa Moro watakushauri zaidi, nadhani ukichukua Moro gharama ya usafirishaji inaweza kuwa chini ukilinganisha na Mbeya.
 
Ndg. Tamalisa, nashukuru sana kwa ushauri, noted.
 
Soko la mchele huwa lipo tu,na mchele mbeya upo mwingi kwa sasa ni elfu 29 mpaka 30.
 
Mtaji wako mdogo
Tafuta meza masokon uuze rejareja
Gharama ya gar m1.2 toka moro
Mchele ukiwa mwing kilo 1 sh 600 baaada ya mwez unapanda mpka kilo sh 900
 
Ndg zangu Wana jamii, nimekwama naomba ushauri,nimepata mkopo wa tshs.milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa jumla masokoni.

Ombi langu wenzangu, mwenye ufaham wa biashara hii kabla sijaianza naomba tafadhari shule. Natanguliza shukrani.

Mwana JamiiForums.
Kwan nini mchele na si biashara nyingine?
Mbeya unapafahamu vizuri?
 
Ndg zangu Wana jamii, nimekwama naomba ushauri,nimepata mkopo wa tshs.milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa jumla masokoni.

Ombi langu wenzangu, mwenye ufaham wa biashara hii kabla sijaianza naomba tafadhari shule. Natanguliza shukrani.

Mwana JamiiForums.
Inategemea na aina ya mchele.Nipigie kwa 0783-181184 au 0717-511439 nikupe maelekezo ya soko la huku dar
 
Mkuu hiyo elfu29 na 30 ni kwa Ujazo na Ubora gani??
Ina maanisha hiyo elfu 29 au 30 ni kwa plastic 1 ya kilo 20 sawa na sh.1450 au 1500 kwa kilo.Kwa kg100 sawa na sh145000 au 150000.Hiyo ni bei ya kununua huko mbeya na c sokoni huku dar.Ila huko mbeya imeshuka.Kwa jana nimeulizia nimeambiwa kwa plstic 1 imekuwa 27000 kwa mbeya mjini,kyela imekuwa 23000 hadi 26000 kwa platic 1 yenye ujazo wa kg20 .Bei ya kyela iko chini coz kyela is far away from mbeya urban ! For further conversation call me via above mentioned phone number !
 
Mtaji wako mdogo
Tafuta meza masokon uuze rejareja
Gharama ya gar m1.2 toka moro
Mchele ukiwa mwing kilo 1 sh 600 baaada ya mwez unapanda mpka kilo sh 900
Mkuu nadhan ukisema ivi utatuvunja moyo wengi

Mi nadhan ishu kubwa na ya msingi ni information, imagine next week nina mpango wa kuchukua gunia 2 Tinde Shinyanga that is to say natarajia kutumia Tshs. 400,000/=
Na kusafirisha gunia moja la kilo 100 mpaka Dar Tandale ni sh. 5000, kwenye lori including kupakia na kupakua.

Sishauri kama ndo mtu unaanza iyo biashara kwa mara ya kwanza, uanze na mtaji mkubwa (even a million can do something great), while hujajua soko, namna ya kukabiliana na changamoto za hapa na pale...in short unakuwa huna information nyingi. Unakuwa hujui hata mzigo wako utaufikishia wapi, hujawazoea wanunuzi au madalali...na wengine wakijua we mgeni wanakupiga...so it is better ukapigwa hela kidogo, ukarudi kujipanga upya.

It is better ugrow simultaneously na mtaji i.e. kadri soko linavokuwa kubwa nawe ndo unaendelea kuengage mtaji mkubwa zaidi.

Maelezo haya ni kwa mujibu wa kauzoefu kadogo na changamoto nilizopata kwenye biashara ya mazao mengine.

Yangu hayo tu
 
Back
Top Bottom