Ushauri: Ndoa yangu inaenda vunjika, badala ya ndoa sasa imekuwa ndoano

Tafuta watu ambao mke wako anaweheshimu na kuwasikiliza wambie ukweli na ikiwezekana mdogo mtu aitwe... Ila story umeibana vp mdogo mtu a.k.a shemeji ako yupoje yupoje maana wanawake wanawivu kwenye mengi.. Usikute shemeji ni mrembo kuliko waifu..
 
Natumaini mu wazima wa afya kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ngoja niendee moja kwa moja kwenye mada,….

Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa tatu na tumebahatika kupata mtoto mmoja mimi na mwenzangu hapo mwanzo maisha yalikuwa mazuri sana ila hivi karibuni mambo yamebadilika sana mpaka kuja hapa jukwaa la MMU kuja kuomba ushauri inaonesha ni kwa jinsi gani nilivyokwazika na nisijue cha kufanya kwa huyu wa ubani wangu maana nipo njia panda na ndoa yangu imetetereka kwelikweli kwa siku za hivi karibuni…….

Kisa chenyewe ni kwamba hivi majuzi nilitembelewa na shemeji yangu (Yaani mdogo wake na mke wangu) na Mungu kamjalia kapata mtoto so ndio akawa amekuja kututembelea hapa nyumbani na akawa amekaa hapa kwa takribani wiki moja hivi …..

Sasa kuna siku mke wangu alikwenda sokoni kufanya shopping ya mahitaji hapa nyumbani na siku hiyo alituacha mimi na mdogo wake ambaye ni shemeji yangu hapa nyumbani kwa kuwa nilikuwa nimeboreka nikaamua kwenda kujipumzisha chumbani wakati nautafuta usingizi mtoto wa huyu shemeji yangu akawa amekuja chumbani kiroho safi nikaaamua kumchukua na kumrudisha kwa mama yake ambaye alikuwa chumba jirani tu ….

Sasa wakati natoka chumbani kwa shemeji ghafla muda huohuo mke wangu ndio akawa amerejea kutoka sokoni kwa kweli kwa mazingira aliyonikuta nayo pale (Hapa ni kwamba wakati namrudisha mtoto kwa mama yake nilikuwa nimejifunga taulo kiunoni ) ni haki yake kunifokea nakumbuka alinitukana alinishushua na kunifokea kwa sauti ya juu kuwa nilienda kufanya nini chumbani kwa mdogo wake na akawa anafoka kumbe ndio kawaida yako kulala na shemeji yako mdogo wake akaitwa pale akafokewa kwelikweli yaani sitokaa nisahau hiyo siku nahisi siku hiyo majirani walijua tuna ugomvi maana sio kwa kelele zile za mke wangu na binafsi nilidhalilika .…

Baadae alivyotulia nikaamua kutumia busara nikawaita wote yeye na mdogo wake kuweka mambo sawa shemeji yenu akawa ngumu kuelewa baada ya tukio lile ikabidi mdogo mtu atimuliwe pale nyumbani baada ya siku mbili maana alisimamia msimamo wake mimi siku hiyo nililala na mdogo wake….Baada ya Hilo songombingo mke wangu amebadilika sana nimekuwa nikitoka kazini nikifika nyumbani simkuti na nakuta kamwacha motto peke yake nyumbani kamfungia ndani mara nyingine amekuwa akimwacha kwa majirani na huwa anachelewa kurudi nyumbani ikumbukwe kuwa shemeji yenu ni mama wa nyumbani.....

Jana ndio kanichefua kwelikweli nikatamani nimshushie ngumi za kutosha ni kwamba vile nimekuwa si mtu wa kupiga wanawake ilikuwa hivi jana nimerudi nyumbani mida ya saa12 kasoro sikumkuta mwanangu pia sikumkuta nikaa nikawasha tv nikiwa namsubili nikajua kaenda sokoni kupiga simu haipatikani muda ukawa unasonga tu nimekuja kugongewa mlango saa6 usiku mtOto kumbe kamwacha kwa jirani alivyorudi nilimuuliza mtOto yupo wapi akaniambia nilimwacha kwa Fulani…. Kumchunguza akawa ananuka pombe kumuuliza maswali mawili matatu ananijibu ndivyo sivyo tena kwa kujiamini aisee kama singu ningeua ni jana kuepuka shari nikaenda zangu kulala asubuhi nimeamka nimeenda zangu kazini nikiwa na mawazo na mpaka naandika huu uzi nipo mahali napiga bia nyingi nikitafakari ni kitu gani nitamfanya huyu mke wangu maana inaonesha wazi amebadilika na nahisi ananisaliti……

Waungwana wa JF naombeni ushauri wenu maana ndoa yangu naona ishatetereka na muda wowote inavunjika ndoa….. Nawasilisha
Kiukweli i can feel the hard time ur passing through.. Ndoa isiyo na hofu ya Mungu ni mtihani mkubwa sana the way ulivyo elezea scenario it was very simple and clear for her to understand..
Ni hivi ebu angalia background yenu kuna inshu ya kumsaliti iliwai kusanuka kwake?
Huyo mdogo wake je ni kicheche sana kiasi kwamba hamuamini?
The way i know si rahisi kwa mwanamke kuingia kwenye mahusiano mengine kwa haraka kiasi hicho possibly alikuwa tayari anacheat na hii imekuwa namna ya kuhalalisha..
Usiwe mnyonge kuangalia anatoka na kurudi muda anaotaka vinginevyo mrudishe kwao haraka sana mpaka atakavyoona inafaa.
 
Awe mkali asiwe mkali ebu simama kama mwanaume wa wapi wewe
anyway ngoja arudi nitaongea nae kwa upole nimuulize anataka nini maana nikiamua kutumia ukanda maalumu wangu nitaua na watu hawatakawia kusema kawaida yao kushusha vipigo kwa wake zao ngoja nimsubili white....kama kawaida yangu nitaongea nae kwa upole nijue ni nini hasa kilichombadilisha
 
Huo ndio ujinga wa wanawake. Wanafanyaga maamuzi ya kuwajutisha hapo baadae.

Pole sana Mkuu. Usiache kumuomba Mungu uvumilivu
 
Tafuta watu ambao mke wako anaweheshimu na kuwasikiliza wambie ukweli na ikiwezekana mdogo mtu aitwe... Ila story umeibana vp mdogo mtu a.k.a shemeji ako yupoje yupoje maana wanawake wanawivu kwenye mengi.. Usikute shemeji ni mrembo kuliko waifu..
mdogo mtu ana mvuto zaidi ya wife ni mbulu so nahisi wivu wa mke wangu kwa mdogo wake ndio umetufikisha huku
 
Natumaini mu wazima wa afya kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ngoja niendee moja kwa moja kwenye mada,….

Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa tatu na tumebahatika kupata mtoto mmoja mimi na mwenzangu hapo mwanzo maisha yalikuwa mazuri sana ila hivi karibuni mambo yamebadilika sana mpaka kuja hapa jukwaa la MMU kuja kuomba ushauri inaonesha ni kwa jinsi gani nilivyokwazika na nisijue cha kufanya kwa huyu wa ubani wangu maana nipo njia panda na ndoa yangu imetetereka kwelikweli kwa siku za hivi karibuni…….

Kisa chenyewe ni kwamba hivi majuzi nilitembelewa na shemeji yangu (Yaani mdogo wake na mke wangu) na Mungu kamjalia kapata mtoto so ndio akawa amekuja kututembelea hapa nyumbani na akawa amekaa hapa kwa takribani wiki moja hivi …..

Sasa kuna siku mke wangu alikwenda sokoni kufanya shopping ya mahitaji hapa nyumbani na siku hiyo alituacha mimi na mdogo wake ambaye ni shemeji yangu hapa nyumbani kwa kuwa nilikuwa nimeboreka nikaamua kwenda kujipumzisha chumbani wakati nautafuta usingizi mtoto wa huyu shemeji yangu akawa amekuja chumbani kiroho safi nikaaamua kumchukua na kumrudisha kwa mama yake ambaye alikuwa chumba jirani tu ….

Sasa wakati natoka chumbani kwa shemeji ghafla muda huohuo mke wangu ndio akawa amerejea kutoka sokoni kwa kweli kwa mazingira aliyonikuta nayo pale (Hapa ni kwamba wakati namrudisha mtoto kwa mama yake nilikuwa nimejifunga taulo kiunoni ) ni haki yake kunifokea nakumbuka alinitukana alinishushua na kunifokea kwa sauti ya juu kuwa nilienda kufanya nini chumbani kwa mdogo wake na akawa anafoka kumbe ndio kawaida yako kulala na shemeji yako mdogo wake akaitwa pale akafokewa kwelikweli yaani sitokaa nisahau hiyo siku nahisi siku hiyo majirani walijua tuna ugomvi maana sio kwa kelele zile za mke wangu na binafsi nilidhalilika .…

Baadae alivyotulia nikaamua kutumia busara nikawaita wote yeye na mdogo wake kuweka mambo sawa shemeji yenu akawa ngumu kuelewa baada ya tukio lile ikabidi mdogo mtu atimuliwe pale nyumbani baada ya siku mbili maana alisimamia msimamo wake mimi siku hiyo nililala na mdogo wake….Baada ya Hilo songombingo mke wangu amebadilika sana nimekuwa nikitoka kazini nikifika nyumbani simkuti na nakuta kamwacha motto peke yake nyumbani kamfungia ndani mara nyingine amekuwa akimwacha kwa majirani na huwa anachelewa kurudi nyumbani ikumbukwe kuwa shemeji yenu ni mama wa nyumbani.....

Jana ndio kanichefua kwelikweli nikatamani nimshushie ngumi za kutosha ni kwamba vile nimekuwa si mtu wa kupiga wanawake ilikuwa hivi jana nimerudi nyumbani mida ya saa12 kasoro sikumkuta mwanangu pia sikumkuta nikaa nikawasha tv nikiwa namsubili nikajua kaenda sokoni kupiga simu haipatikani muda ukawa unasonga tu nimekuja kugongewa mlango saa6 usiku mtOto kumbe kamwacha kwa jirani alivyorudi nilimuuliza mtOto yupo wapi akaniambia nilimwacha kwa Fulani…. Kumchunguza akawa ananuka pombe kumuuliza maswali mawili matatu ananijibu ndivyo sivyo tena kwa kujiamini aisee kama singu ningeua ni jana kuepuka shari nikaenda zangu kulala asubuhi nimeamka nimeenda zangu kazini nikiwa na mawazo na mpaka naandika huu uzi nipo mahali napiga bia nyingi nikitafakari ni kitu gani nitamfanya huyu mke wangu maana inaonesha wazi amebadilika na nahisi ananisaliti……

Waungwana wa JF naombeni ushauri wenu maana ndoa yangu naona ishatetereka na muda wowote inavunjika ndoa….. Nawasilisha
Tatizo hukuwai kumpiga mpaka asitoke nje siku 7
Siku ana anza huo uchafu wewe ungeza na macho yake na mdomo
Mwanaume unatakiwa kuwa mkali kwa maneno na vitendo

NB 1 NANI KAKUAMBIA MWANAMKE HAPIGWII

NB 2 PYRAMIDS ZA MISRI HAZIKUJENGWA KWA KUBEMBELEZWA

NB 3 KUPIGA MWANAMKE SI UGOMVI BALI NI NJIA YA KUMFUNDISHA KWA NJUVU YA MIKONO PALE MDOMO UNAPO SHINDWA
 
Tafuta watu ambao mke wako anaweheshimu na kuwasikiliza wambie ukweli na ikiwezekana mdogo mtu aitwe... Ila story umeibana vp mdogo mtu a.k.a shemeji ako yupoje yupoje maana wanawake wanawivu kwenye mengi.. Usikute shemeji ni mrembo kuliko waifu..
mdogo mtu ana mvuto zaidi ya wife ni mbulu so nahisi wivu wa mke wangu kwa mdogo wake ndio umetufikisha huku
 
Huyo alikuwa anachepuka tangu cku nyingi na sasa ameamua kuhalalisha baada ya kupata sababu ni ngumu sana kumrejesha kama mwanzo
 
anyway ngoja arudi nitaongea nae kwa upole nimuulize anataka nini maana nikiamua kutumia ukanda maalumu wangu nitaua na watu hawatakawia kusema kawaida yao kushusha vipigo kwa wake zao ngoja nimsubili white....kama kawaida yangu nitaongea nae kwa upole nijue ni nini hasa kilichombadilisha
Endelea kuendekeza upole aongeze jeuri na ukute huko anapigwa mbele na nyuma kukukomoa
 
sometimes nasema kwanini niliingia katika hiki kifungo.... maana ni ugomvi kila kukicha
Aisee pole sana...so, inaonyesha ugomvi upo hata kabla ya hlo tukio??

Uncontrolled wivu ni chanzo cha migogoro mingi ktk ndoa..

Ita wazazi wake msuruhishe hlo tatizo...akigoma mpe likizo ya kukaa nyumbani kwao hata miezi 3.

Akirudi ..mtathimini km kajirekebisha kisha... Japo najua utakuwa huna hata uhuru wa kushka simu yako ukiwa nyumbani kwani atajua una chati na mademu zake akiwemo mdogo wake...ww potezea tu huo ni upepo utapita na maisha yatasonga mbele kwa kuendelea kumuonyesha upendo kila siku.

Ndo ndvyo zilivyo bro...na jambo kubwa ktk ndoa ni KUSAMEHE..hyo ndoa itadumu hata kwa kuchechemea.
 
Mimi naona yafwatayo...
Mosi..sio heshima kuvaa taulo na kuingia chumbani kwa mgeni wa kike awe shejio au hata mwanao wa kike.
Pili..kosa ni lako hii haijalishi kama ulifanya kwichikwichi au la..
Tatu.. Mkeo mchepukaji wa kiwango cha rami hivyo katumia kosa lako kujihalalishia nyendo zake.
Nne.. Dawa ya moto ni moto hivyo ili usiingie kwenye mgogoro na familia kwa ujumla muachie nyumba sepa, ni uamuzi mgumu lakini utumie.
Mwisho.. kwani wewe na huyo mkeo mlikutana ktk mazingila gani mpaka kufikia kuoana? Kumbuka tabia ni kama ngozi tu hua haibadiliki..
All the ukienda makao mapya maana pesa na majumba ni mali ya Bwana muumba mbingu na dunia..
 
Kaka habari za kazi, mimi niseme hongera kwa ushindi maana huo ni mtihani na tayari unaelekea kushinda au kufaulu, kwa jinsi ambavyo nimekusoma , kwamba pamoja na yote hayo aliyokutenda mkeo na matusi yote lakini hujathubutu kuinua mkono wako kumpiga wa kumtukana. Ni jambo jema kushukuru kwa kila jambo.1The 5:16-18
Ushauri:
Fanya haraka kuingia katika maombi kwaajili ya mke wako, au nenda shirikisha wachungaji na timu za maombi, na agano lako na mkeo litarudi kuwa kama kwanza na kuwa bora zaidi.
Maana ninachokiona mimi katika ndoa yako ni kwamba mkeo ametupiwa roho chafu, roho ya mafarakano kwenye ndoa ili kuivuruga na hata kuivunja ndoa yenu, kuondoa amani na furaha mliyokuwanayo awali.
Ni hilo tu , lakini mkeo hana tatizo lingine zaidi ya roho za mafarakano alizotupiwa. Na ndiyo maana huwezi kuongea jambo sasa akakusikiliza wala kukuelewa kwa sababu ya hizo roho chafu.

Jitahidi nenda kwenye maombi Yesu KRISTO anaweza.
Natuma uponyaji kwenye agano lako sasa hivi, kwa jina lenye uweza la Yesu KRISTO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom