Ushauri: Ndoa yangu inaenda vunjika, badala ya ndoa sasa imekuwa ndoano

Duh! Pole sana Mkuu. Wivu wa kijinga huvunja penzi/ndoa. Inaudhi sana pale unapotuhumiwa wakati huna kosa lolote. Kama hutamind endelea kutupa mrejesho kuhusu hatima ya ndoa yako ambayo sasa inayumba kutokana na wivu uliopitiliza. Pole sana.

Natumaini mu wazima wa afya kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ngoja niendee moja kwa moja kwenye mada,….

Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa tatu na tumebahatika kupata mtoto mmoja mimi na mwenzangu hapo mwanzo maisha yalikuwa mazuri sana ila hivi karibuni mambo yamebadilika sana mpaka kuja hapa jukwaa la MMU kuja kuomba ushauri inaonesha ni kwa jinsi gani nilivyokwazika na nisijue cha kufanya kwa huyu wa ubani wangu maana nipo njia panda na ndoa yangu imetetereka kwelikweli kwa siku za hivi karibuni…….

Kisa chenyewe ni kwamba hivi majuzi nilitembelewa na shemeji yangu (Yaani mdogo wake na mke wangu) na Mungu kamjalia kapata mtoto so ndio akawa amekuja kututembelea hapa nyumbani na akawa amekaa hapa kwa takribani wiki moja hivi …..

Sasa kuna siku mke wangu alikwenda sokoni kufanya shopping ya mahitaji hapa nyumbani na siku hiyo alituacha mimi na mdogo wake ambaye ni shemeji yangu hapa nyumbani kwa kuwa nilikuwa nimeboreka nikaamua kwenda kujipumzisha chumbani wakati nautafuta usingizi mtoto wa huyu shemeji yangu akawa amekuja chumbani kiroho safi nikaaamua kumchukua na kumrudisha kwa mama yake ambaye alikuwa chumba jirani tu ….

Sasa wakati natoka chumbani kwa shemeji ghafla muda huohuo mke wangu ndio akawa amerejea kutoka sokoni kwa kweli kwa mazingira aliyonikuta nayo pale (Hapa ni kwamba wakati namrudisha mtoto kwa mama yake nilikuwa nimejifunga taulo kiunoni ) ni haki yake kunifokea nakumbuka alinitukana alinishushua na kunifokea kwa sauti ya juu kuwa nilienda kufanya nini chumbani kwa mdogo wake na akawa anafoka kumbe ndio kawaida yako kulala na shemeji yako mdogo wake akaitwa pale akafokewa kwelikweli yaani sitokaa nisahau hiyo siku nahisi siku hiyo majirani walijua tuna ugomvi maana sio kwa kelele zile za mke wangu na binafsi nilidhalilika .…

Baadae alivyotulia nikaamua kutumia busara nikawaita wote yeye na mdogo wake kuweka mambo sawa shemeji yenu akawa ngumu kuelewa baada ya tukio lile ikabidi mdogo mtu atimuliwe pale nyumbani baada ya siku mbili maana alisimamia msimamo wake mimi siku hiyo nililala na mdogo wake….Baada ya Hilo songombingo mke wangu amebadilika sana nimekuwa nikitoka kazini nikifika nyumbani simkuti na nakuta kamwacha motto peke yake nyumbani kamfungia ndani mara nyingine amekuwa akimwacha kwa majirani na huwa anachelewa kurudi nyumbani ikumbukwe kuwa shemeji yenu ni mama wa nyumbani.....

Jana ndio kanichefua kwelikweli nikatamani nimshushie ngumi za kutosha ni kwamba vile nimekuwa si mtu wa kupiga wanawake ilikuwa hivi jana nimerudi nyumbani mida ya saa12 kasoro sikumkuta mwanangu pia sikumkuta nikaa nikawasha tv nikiwa namsubili nikajua kaenda sokoni kupiga simu haipatikani muda ukawa unasonga tu nimekuja kugongewa mlango saa6 usiku mtOto kumbe kamwacha kwa jirani alivyorudi nilimuuliza mtOto yupo wapi akaniambia nilimwacha kwa Fulani…. Kumchunguza akawa ananuka pombe kumuuliza maswali mawili matatu ananijibu ndivyo sivyo tena kwa kujiamini aisee kama singu ningeua ni jana kuepuka shari nikaenda zangu kulala asubuhi nimeamka nimeenda zangu kazini nikiwa na mawazo na mpaka naandika huu uzi nipo mahali napiga bia nyingi nikitafakari ni kitu gani nitamfanya huyu mke wangu maana inaonesha wazi amebadilika na nahisi ananisaliti……

Waungwana wa JF naombeni ushauri wenu maana ndoa yangu naona ishatetereka na muda wowote inavunjika ndoa….. Nawasilisha
 
kaka pole sana kwa janga hilo. Ila kama ndoa bado unaihitaji ni wewe tu wa kuiponya cha msingi sasa usigombane naye kwa lolote beba yooote ambayo anafanya mazuri/ mabaya najua kwa sasa mabaya ni zaidi hadi hapo atakapo kaa sawa.Then Mtayamaliza
hayo yote mabaya ndio sitaki yaani mke wangu ninaye mhudumia kwa kila kitu arudi nyumbani muda anaotaka huku akiwa amelewa mimi nilichofikiria hapa ni kuvunja ndoa keshanishinda tayari mkuu
 
Nitafanya hivyo nashukuru kwa mawazo yako ... na kuhusu pombe hapo ndio kaniacha wazi ni wapi alikojifunzia kunywa inasikitisha sana
Inaelekea amekua akishindiliwa msmari wa 7.5" kwa muda mrefu tu, ila ulikuwa hujagundua kwani alikuwa akikulia timing wakati upon kazini. Baada ya kupata kisingizio uchwara sasa anataka akuonyeshe kuwa yeye kama mama wa nyumbani anayaweza sana na amekuwa akiyafanya siku zote, na diy maana haikumchukuwa muda kukuonyesha kwamba anao wanaume wa kumsugua na kumnyesha. RIPOTI KWA WAZEE KISHAMBWAGE. Atakuletea magonjwa hiyo.
 
Na wewe usiwe mpole simama kama mwanaume usimchekee chekee siku atakuletea anaoshinda nao na kumlewesha
Tatizo kawa mkali kwelikweli... na nimerudi nyumbani muda huu sijamkuta nadhani akirudi atanielewesha vyema ni wapi alipokuwa amekwenda kama kawaida yake nimekuta kamfungia mtt ndani ya nyumbani nadhani anahitaji kustuliwa kichwa kidogo white
 
Pole sana mkuu, mlioendan wenyewe hivyo wasuluhishi ni nyie wenyewe, hata uende kwa nan msipofikia muafaka wa mambo nyie wawili ni kazi bure kabsa, Mueleze ikiwa yuko tayari kubaki na wewe afuate masharti ya ndoa yeni ikiwa hayuko tayari mpe nafar ya free to go ili kila mmoja abaki na vhangamoto zake kuliko kupunguziana siku za kuishi hali yali yakuwa mnajua tukiishi sana ni miaka sabini kama tuna nguvu saaana ni miaka 80.
 
Nashauri yafuatayo
1. Kwa vile ni mama wa nyumbani, arudi kwao kwa muda, then mfuate huko huko mkayazungumze na wazazi wake
2. Wakati mnayazungumza, hakikisha mdogo wake yupo kwenye mazungumzo, ili kama kuna vya kujibu au kutoa maelezo basi afanye hivyo mwenyewe
3. Kwenye kikao hicho, ita mtu mmoja wa kutoka upande wako naye awe msikilizaji ili ajue kinachoendelea

NB
Aina ya maisha anayoishi mtu, INAPELEKEA KUSINGIZIWA MAMBO YANAYOFANANA NA AINA YA MAISHA ANAYOISHI
nimekuelewa mkuu
 
Pole sana mkuu, Mimi binafsi sijaoa lakini sitokaa nije kuruhusu mwanamke anidharau kiasi hicho. Kabla ya yote nakushauti umshushie kipigo huyo mwanamke ndio mengine yafuate.
Leo nahisi atakipata mkuu maana sijamkuta nyumbani muda huu.... ngoja niagize bia niendelee kuzishushia hapa home maana kanichefua kwelikweli
 
Pole sana mkuu, Mimi binafsi sijaoa lakini sitokaa nije kuruhusu mwanamke anidharau kiasi hicho. Kabla ya yote nakushauti umshushie kipigo huyo mwanamke ndio mengine yafuate.
Leo nahisi atakipata mkuu maana sijamkuta nyumbani muda huu.... ngoja niagize bia niendelee kuzishushia hapa home maana kanichefua kwelikweli
 
hayo yote mabaya ndio sitaki yaani mke wangu ninaye mhudumia kwa kila kitu arudi nyumbani muda anaotaka huku akiwa amelewa mimi nilichofikiria hapa ni kuvunja ndoa keshanishinda tayari mkuu
ndiyo maana nimekwambia kama bado unahitaji ndoa vumilia tu kuiponya ndoa yako otherwise hakuna wa kuiponya
 
Duh! Pole sana Mkuu. Wivu wa kijinga huvunja penzi/ndoa. Inaudhi sana pale unapotuhumiwa wakati huna kosa lolote. Kama hutamind endelea kutupa mrejesho kuhusu hatima ya ndoa yako ambayo sasa inayumba kutokana na wivu uliopitiliza. Pole sana.
Nitafanya hivyo mkuu... maana nifika home sijamkuta kama kawaida yake nadhani leo atanieleza in detail huwa anaenda wapi na ole wake arudi amelewa atazitapika zote usiku leo.... amenivunjia heshima sana na hii yote ni kwa sababu nampenda
 
Natumaini mu wazima wa afya kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ngoja niendee moja kwa moja kwenye mada,….

Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa tatu na tumebahatika kupata mtoto mmoja mimi na mwenzangu hapo mwanzo maisha yalikuwa mazuri sana ila hivi karibuni mambo yamebadilika sana mpaka kuja hapa jukwaa la MMU kuja kuomba ushauri inaonesha ni kwa jinsi gani nilivyokwazika na nisijue cha kufanya kwa huyu wa ubani wangu maana nipo njia panda na ndoa yangu imetetereka kwelikweli kwa siku za hivi karibuni…….

Kisa chenyewe ni kwamba hivi majuzi nilitembelewa na shemeji yangu (Yaani mdogo wake na mke wangu) na Mungu kamjalia kapata mtoto so ndio akawa amekuja kututembelea hapa nyumbani na akawa amekaa hapa kwa takribani wiki moja hivi …..

Sasa kuna siku mke wangu alikwenda sokoni kufanya shopping ya mahitaji hapa nyumbani na siku hiyo alituacha mimi na mdogo wake ambaye ni shemeji yangu hapa nyumbani kwa kuwa nilikuwa nimeboreka nikaamua kwenda kujipumzisha chumbani wakati nautafuta usingizi mtoto wa huyu shemeji yangu akawa amekuja chumbani kiroho safi nikaaamua kumchukua na kumrudisha kwa mama yake ambaye alikuwa chumba jirani tu ….

Sasa wakati natoka chumbani kwa shemeji ghafla muda huohuo mke wangu ndio akawa amerejea kutoka sokoni kwa kweli kwa mazingira aliyonikuta nayo pale (Hapa ni kwamba wakati namrudisha mtoto kwa mama yake nilikuwa nimejifunga taulo kiunoni ) ni haki yake kunifokea nakumbuka alinitukana alinishushua na kunifokea kwa sauti ya juu kuwa nilienda kufanya nini chumbani kwa mdogo wake na akawa anafoka kumbe ndio kawaida yako kulala na shemeji yako mdogo wake akaitwa pale akafokewa kwelikweli yaani sitokaa nisahau hiyo siku nahisi siku hiyo majirani walijua tuna ugomvi maana sio kwa kelele zile za mke wangu na binafsi nilidhalilika .…

Baadae alivyotulia nikaamua kutumia busara nikawaita wote yeye na mdogo wake kuweka mambo sawa shemeji yenu akawa ngumu kuelewa baada ya tukio lile ikabidi mdogo mtu atimuliwe pale nyumbani baada ya siku mbili maana alisimamia msimamo wake mimi siku hiyo nililala na mdogo wake….Baada ya Hilo songombingo mke wangu amebadilika sana nimekuwa nikitoka kazini nikifika nyumbani simkuti na nakuta kamwacha motto peke yake nyumbani kamfungia ndani mara nyingine amekuwa akimwacha kwa majirani na huwa anachelewa kurudi nyumbani ikumbukwe kuwa shemeji yenu ni mama wa nyumbani.....

Jana ndio kanichefua kwelikweli nikatamani nimshushie ngumi za kutosha ni kwamba vile nimekuwa si mtu wa kupiga wanawake ilikuwa hivi jana nimerudi nyumbani mida ya saa12 kasoro sikumkuta mwanangu pia sikumkuta nikaa nikawasha tv nikiwa namsubili nikajua kaenda sokoni kupiga simu haipatikani muda ukawa unasonga tu nimekuja kugongewa mlango saa6 usiku mtOto kumbe kamwacha kwa jirani alivyorudi nilimuuliza mtOto yupo wapi akaniambia nilimwacha kwa Fulani…. Kumchunguza akawa ananuka pombe kumuuliza maswali mawili matatu ananijibu ndivyo sivyo tena kwa kujiamini aisee kama singu ningeua ni jana kuepuka shari nikaenda zangu kulala asubuhi nimeamka nimeenda zangu kazini nikiwa na mawazo na mpaka naandika huu uzi nipo mahali napiga bia nyingi nikitafakari ni kitu gani nitamfanya huyu mke wangu maana inaonesha wazi amebadilika na nahisi ananisaliti……

Waungwana wa JF naombeni ushauri wenu maana ndoa yangu naona ishatetereka na muda wowote inavunjika ndoa….. Nawasilisha
Duu wanawak noma saana,,wana change kama wheather ,, mtumane kwawo bila kutarif wazaz wako wala wakwake then ataulizw kule kwa nin katimuliwa ,,ataitwa uo mdogo wake atasimulia kila kitu usijal yataisha jxt be strong!!!ndo mana tumeitwa wanaume kuwa strong kwa situation tunazo face in daily life,,!!!
 
Nitafanya hivyo best.... maana amekuwa akinifokea kupita kiasi ni vile tu sina mkono wa kurusha ngumi hii ya jana ndio imenipa mawazo siku nzima ya leo.... Inauma sana
Pole mkuu najua inakuuma, kuwa muangalifu nae mnoo anaweza kukuletea matatizo zaidi, unaweza siku ukathubutu kumpiga ukaishia kwenda jela, ukiona jitihada zote zimeshindikana mkuu achana nae.

Tutajulishana zaidi kinachojiri.
 
Back
Top Bottom