Ushauri: Nataka kumuacha mke wangu wa Kimarekani

Jabari wana JF.
Mimi ni Mbongo lkn naishi Marekani na mke wangu ni Mmarekani .
Nachotaka hapa ni ushauri na si matusi tafadharini.
Ni hivi ....Mke wangu ni mkorofi sana, nataka nimpige chin(nimuache) .

Niko kwenye ndoa miaka 3 na ninayo Green Card ya miaka kumi.
Hofu yangu nikimuacha vipi uhalali wa kuishi bila yeye ?

Wana JF wa Marekani naombeni ushauri tafadharini.

Hupo kwenye K1 or K3 Visa? Masharti ya kibali chako cha kuhishi marekani yatakupa jibu sahihi. Kama hupo chini ya "Conditional permit" basi ni mkeo tu ndo anaweza kuomba iondolewe. Ndoa ikifa waweza jikuta hupo kiwalani. ..
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Ulipokua unaoa ulikuja kuomba ushauri humu??

Cheap shots for cheap stuffs
 
Hupo kwenye K1 or K3 Visa? Masharti ya kibali chako cha kuhishi marekani yatakupa jibu sahihi. Kama hupo chini ya "Conditional permit" basi ni mkeo tu ndo anaweza kuomba iondolewe. Ndoa ikifa waweza jikuta hupo kiwalani. ..

Tofautisha hupo na upo please
 
Kweli wewe ufikirii instead kuuliza watu wa huko unakuja kuuliza Jamiiforum duh Kweli akili ni nywele
 
Mtoa mada, kila anaetoa maoni ndo uwezo wake ulipoishia kiakili na kimawazo. Hivyo wasamehe huwenda wamejitaidi sana.
upande wangu wenye uzoefu na huko, watatusaidia
 
Back
Top Bottom