Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

HIIVIII KWENU UMEUA UNAOGOPA KURUDI?

Uenda alikuwa anatafuta mtu wa kulelea wanaee na sasa hapo walipofka kaona hata ukiwaacha hana taabu...

Ujui mapenz si akufunze yeye hiyo tabia mbaya zaidi anayotaka?

Uenda anashda ingne zaidi kama lbd kakutaka kinyume na maumbile sasa umemkatalia ndio anakuadhibu kwa hiloo.
 
Na wewe nae,sasa kwann hujui mapenzi?ebu nitafute nikufundishe bure kabiss bila ata sent sawa bi dada!!!!

Inamaana hujamsoma bidada au?

Hakufanya ivo. Ilifikiwa wakati nikaona ngoja nikae nisimsumbue ila nilijiuliza nitaishi hivi mpaka lini na kusaliti ndoa siwezi. Nilimwomba Mungu sana anipe uvumilivu ila pia Mungu aseme na mimi juu ya hii ndoa.
 
Nimesoma hii thread yako na kusoma maoni yote. Nataka nami nijaribu kutoa maoni yangu. Kwanza, huyu mume wako ninaweza kusema ameathirika kisaikolojia. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakaye mtamani mtoto wa mkewe. Hivi weye umewahi kumtamani huyo wake wa kiume?? Ni nini kinakufanya usimtamani?? Hujasikia kitu inaitwa Sugar Mumy?? Kwa sababu akili zako ni njema hutamwona kama kakua.
Pili; Kwa kuwa ameathirika kisaikolojia, njia pekee ni kumtoa mtoto wako hapo. Watoto wetu wa leo nadiriki kusema; Labda wamesahau kuchukua akili walipokuwa wanapewa vipaji na muumba wao. Bila hata hiyana, ataenda na huyo babake guest na ukimkamata atakupa jibu la kukufanya uzirai. Kama hajampa, basi kwa kuwa umesema una kazi yako na uwezo wa kumtunza binti yako, mtoe hapo home mpeleke mbali. Hata kama ni kwa mda tu.
Tatu; Kutana na mumeo kwenye chumba chenu, mkalishe, mweleze alipoufikisha moyo wako na kama ni nini, mwambie ungeomba kupeana nafasi kidogo yaani kuachana kwa muda kidogo. Akili zikimrudia, utarudi. Kama ameona majimama mengine huko nje huna uwezo wa kumzuia kwani aibu anayokupa bila kujua ni kubwa.
 
Ndoa yueni ni muhimu kujua umri ili kutoa ushauri coz nimesikia mnawatoto wako chuo kikuu na wengine formsix it means ni watu wazima sana mme atakuw akakuchoka tu ni kukaa chini na kuongea nae.Pole sana
 
Kimbia hataka ukimwi utakuhusu hapo. Anatumia kinga kweli au anawala pekupeku
 
Sasa kama unajijua mapenzi huwezi unasubiri mpaka akufundishe ndio hayo yanakukuta! Hakuna kitu kinakera kma kufanya mapenzi yanayo bore over and over ! Fanya mautundu tafuta google , soma magazeti ya udaku , ongea na akina bibi chau vinginevyo atagonga kabisa mwanao....miezi 8 na unasubiri ushahidi wa shemeji yako kweli wewe .....mburura wa mapenzi
 
Kwanza watoto wanaishi kwa baba, peleka mtoto wako kwa baba yake!!uoni wake waishi kwa baba. nyie mnaojidai kukatalia watoto na mmnaenda kuolewa nao mnawaletea shida, tena amgonge tu binti yako kwani kizuizi ni nini? sio damu yake. kashakuwa mkubwa..

kwanza ngoja nkubatize jina WAKUKURUPUKA...Soma story vizuri uielewe! kashasema alipewa ujauzito akatelekezwa.. STUPID
 
Pole sana huyo bazazi kakusoea sana ila lifikishe suala kwa wazee wa kanisa!!
 
we ndiye hujamuelewa bi dada!!!
mie nataka nimfundishe mapenzi maana ndio chanzo cha tatizo,na wala sijamwambia aisalitu ndoa yake!!

Yaani kinadharia siyo bila vitendo!
Mitego ya aina hiyo na wasiwasi hata Bwana Yesu anaweza asichomoke maana naye Binadamu.

mwanaume asisingizie vile hujui mapenzi ni umalaya wake unamsumbua tu.......ongea na binti yako ikiwezekana mwondoe hapo nyumbani anaweza kumrubuni kama hajafanya hivyo kwa chochote
 
HIIVIII KWENU UMEUA UNAOGOPA KURUDI?

Uenda alikuwa anatafuta mtu wa kulelea wanaee na sasa hapo walipofka kaona hata ukiwaacha hana taabu...

Ujui mapenz si akufunze yeye hiyo tabia mbaya zaidi anayotaka?

Uenda anashda ingne zaidi kama lbd kakutaka kinyume na maumbile sasa umemkatalia ndio anakuadhibu kwa hiloo.

Yaani kama ulijua nimewaza nn..! kimsingi huyo kamanda alihitaji mfanyakazi wa kulea wanae na yeye apate pa kupunguzia kiu.
 
Nimesoma hii thread yako na kusoma maoni yote. Nataka nami nijaribu kutoa maoni yangu. Kwanza, huyu mume wako ninaweza kusema ameathirika kisaikolojia. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakaye mtamani mtoto wa mkewe. Hivi weye umewahi kumtamani huyo wake wa kiume?? Ni nini kinakufanya usimtamani?? Hujasikia kitu inaitwa Sugar Mumy?? Kwa sababu akili zako ni njema hutamwona kama kakua.
Pili; Kwa kuwa ameathirika kisaikolojia, njia pekee ni kumtoa mtoto wako hapo. Watoto wetu wa leo nadiriki kusema; Labda wamesahau kuchukua akili walipokuwa wanapewa vipaji na muumba wao. Bila hata hiyana, ataenda na huyo babake guest na ukimkamata atakupa jibu la kukufanya uzirai. Kama hajampa, basi kwa kuwa umesema una kazi yako na uwezo wa kumtunza binti yako, mtoe hapo home mpeleke mbali. Hata kama ni kwa mda tu.
Tatu; Kutana na mumeo kwenye chumba chenu, mkalishe, mweleze alipoufikisha moyo wako na kama ni nini, mwambie ungeomba kupeana nafasi kidogo yaani kuachana kwa muda kidogo. Akili zikimrudia, utarudi. Kama ameona majimama mengine huko nje huna uwezo wa kumzuia kwani aibu anayokupa bila kujua ni kubwa.

Ushauri ni wa busara huyo mama aufanyie kazi..! kama ndo tabia za huyo bwana huenda huyo mkewe marehem alikufa na siri nzito sana moyoni kwani hiyo tabia cyo ya ghafla
 
Back
Top Bottom