Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Mimi kama binadamu wa kawaida kabisa , nafahamu kuhusu mambo ya dharula za kiafya yanayoweza kumpata mtu yeyote mahali popote , na hasa mahali penye Mkusanyiko mkubwa wa watu .
Umati wa Watu waliojitokeza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chadema huko Nyahunge , Jimbo la Buchosa umenifanya nitambue kwamba , kumbe kuna haja ya kuongeza huduma za dharula lwenye mikutano ya hawa Chadema , kwa umati ule haiwezekani kahema kamoja ka Red cross kuhimili .
Naomba sana viongozi wa Chadema na hata Mamlaka za Nchi zenye dhamana ya kulinda Usalama wa Raia zitambue jambo hili .
Hebu angalia Umati huu halafu Toa Maoni Yako