Gajungi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 257
- 83
- Thread starter
- #41
Hatumii vitu hivyo ndio maana mawasiliano yanakuwa magumu. Ana namba ya simu ,kama upo tayari ntl.Ni pm email yake au account yake ya facebook alafu nimpige saundi akiingia bila kuniambia upo wewe au akasema hajawahi kuwa na mpenzi nadhani hiyo itakuwa visibility outcome then you will need to let her go.