Ushauri kwa Rais Samia: Acha kutumia kauli "Nawasalimu kwa jina la Jamhuri (ya Muungano wa Tanzania")

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,219
2,823
Habari...
mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali

mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu juu ya jambo hilo ni hizi hapa chini

1.waislamu tumeelekezwa namna bora ya kusalimiana nayo ni kusema assalaamu alaykum (amani iwe nanyi au amani iwe juu yenu) tena nadhani siyo waislamu pekee tunaotakiwa kutumia salam hiyo. wakristo pia wanatakiwa kutumia hiyo kitu kwa sababu maneno kama tumsifu yesu kristo au bwana yesu asifiwe au haleluya ni vionjo tu katika hotuba kama ilivyo kwa waislam wanavyosema swalu alan-nabiy (tumswalie mtume) au takbiir nk, tuishie hapo maana mada yangu sijalenga mambo hayo leo.

kwahiyo rais samia anapoishia kusema tu yale maneno bila kusema salaam alaykum inakuwa hajasalimia watu (kwa lugha nyepesi amekiuka utaratibu wa dini). unapokutana na watu kitu cha kwanza ni kuwasalimia (kuwatolea salamu) ndipo mazungumzo mengine yaendelee na hata hayo mazungumzo yatakuwa ni yenye kufaa yakitangulizwa salamu. salamu ni zawadi itokayo kwa mwenyezimungu yenye baraka na mema rejea surat nur 24:61

2.hili la pili ambalo ndilo limenifanya niandike uzi ni kwamba kauli ile ina shirki ndani yake! kivipi? twende pamoja. mwislamu anapotaka kufanya lolote (la heri) anatakiwa kusema bismillah ikiwa ina maana ya "kwa jina la mwenyezimungu" yaani "naanza kufanya jambo hili kwa jina la mwenyezimungu".

bi-kwa, ismi-jina, allah-mwenyezimungu, maana yake hapo ukiondoa hilo jina la mwenyezimungu ukaweka jina lingine inakuwa umefanya shirk yaani kufuru hebu tupachike pale tuone... kwa jina la jamhuri itakuwa 'bismijamhuri'. tumeona kwa jina la mwenyezimungu maana yake naanza hichi nifanyacho kwa jina la mwenyezimungu haya hiyo kwa jina la jamhuri je maana yake ni nini? kama naanza kwa kuwasalimu kwa jina la jamhuri ni shirki hiyo. pia kama naanza kuwasalimu kwa jina la jamhuri basi tunarudi palepale kwenye hoja namba moja ambapo mara nyingi anasema anaanza kutusalimia kwa jina hilo na kisha sioni/sisikii rais akitusalimia

ushauri juu ya hii hoja nashauri rais (baada ya kufanyia kazi hoja namba moja) aseme tu jamhuri ya muungano wa tanzania kisha hadhira itaitikia tu kazi iendelee kama kawaida, maneno "kwa jina la" yaondolewe asiyatumie kabisa

najua urais ni taasisi hivyo wabobevu wa dini ya kiislamu mnaomzunguka rais fuatilieni hii hoja yangu kama inaingia akilini ishughulikieni. pia itambulike nimemlenga moja kwa moja rais kwakuwa ndiyo kama mwanzilishi wa kauli hiyo na hawa wengine wakaiga tu kwahiyo kusema haifai simaanishi ni kwa yeye rais tu halafu kwa wengine ikawa yafaa, laa!

na mola ndiye mjuzi zaidi
 
Andiko reeefu halafu limejaa ujinga ujinga tu.
 
Ngoja tumwambie unataka Salam ya kiislam na sio vinginevyo.
Ila na mi nakuonya kwamba unaelekea kwenye udini.
Wewe ni mdini hatari sana.
 
Aliisha imodify tayari siku hizi anasema "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
tuliisha mkanya tayari itikadi kali
 
Usichojua alianzisha salaam mpya kukwepa salaam za kidini,jambo lingine usijifanye mjuaji sana kwenye dini za wengine hasa pale ulipoanza kupuuza salaam ya wakristo kwa taarifa yako hata sisi salaam yetu ina umhuhimu kuliko unavyodhani.
 
Hii mada kaufundishe kwenye nyumba za ibada/swala. Hapa ni senseless
 
Taahira wa hedi kwa hiyo Iikiarabu lenu ndio mnataka litumike nchini?

Back
Top Bottom