Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

Amkabidhi kwa TRA na bodi ya mimopo ili wakati wanaanza kumkata mkopo wamkatie na cha juu wamlipe jamaa chake maaana da inauma.
 
A give up tu maana hana namna ila malipo ni hapa hapa duniani take my word time will tell
 
Gademiti... Dada hana huruma asee. Bo.ya amesomeshewa anajibebea tu.

Ila huyu kijana nae kwanini asingejisomesha mwenyewe au ndugu yake?

Kaona bora asomeshe utamu uendelee kuiva ulambwe na wengine..

Asijiue tu apambane muda sio mrefu mhitimu atarudi akilia
 
Simanishi kwa ubaya,kwani wakati anampa alikua anamwambia nakupe ili nije nikuoe au alikua anampa as mchumba wake?
Labda sijaelewa vizuri lakini wengi hua wanalalamika wakishatoa hela wakati hamkuambizana kama nakupa lakini in return nikuoe hapo ataamua ...
Sijui km hata unajua ni nn maana ya uchumba
 
Pole yake,Mungu amtie nguvu hizi mambo hazinaga formula wala mjanga......wanaume mnaumia kwa kutumia /kuwekeza materials na wanawake wanaumiaga kwa kutumika utu wao inreturn mnawaacha kwa kashfa kubwa pia ni mambo ya kawaida ye sio wa kwanza wala wa mwisho,ila MUDA NI TIBA ,TUNAPOUMIA TUNAPONA KWA WAKATI HUO HUO
umesema kweli I salute you smileagain.
 
Hii issue ilishaongelewa sana humu kuwa mchumba hasomeshwi..

Ushauri, inaonekana wanaume wengi ni Vilaza, kama mnaweza kuanzisha NGO ya kuwashauri wasisomeshe wapenzi inaweza kusaidia, lasivyo vilio havitaisha. Pu..... fuuuu kabisa
We unazani kila mtu yupo JF?.......
 
Back
Top Bottom