ushauri kati ya prado au harrier

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,930
2,397
Naomba ushauri kwa wenye uelewa wa magari, kati ya toyota landcruiser prado na toyota harrier(4cylinder) zote za kati ya miaka 1998-2001, ipi ni bora kwa matumizi ya dar, angalau mara mbili kwa mwezi linaloweza ingia rough roads lets say dar-mpanda(katavi) ambalo value yake haishuki sana kama ukitaka kuliuza, hata kwa show kwa sisi vijana lipi zaidi, upatikanaji wa spares, ntashukuru sana kwa maoni yenu.
 
Nakushauri chukua kitu LandCruseir ina jeuri sana barabarani. Spare ni ghali ila kwa hayo matumizi ya mara mbili kwa mwezi itakufaa.
 
Nunua zote mbili, raha ya mjini showtime! Wknd unatumia harrier, kazi kwa prado.
 
akhsanteni sana wakubwa, wote mmejibu prado kama mmeambiana, nawashukuruni sana sana kwa ushauri wenu, nakaribisha kama kuna maoni zaidi.
 
go for prado 90 series TZ, or landcruiser 70 series ZX (its also a prado),each with 5VZ engine, ukitaka unatupia customization ya uhakika(interior and exterior body work).
 
mambo yote landcruser prado. Harrier hamna kitu ingine inapata moto na kuchemka haraka sana. Prado gari ngumu sana.mi natumia ya ofisini prado tx. Ni nouma!unajua kuna tofaut kati ya gar na usafiri be aware!
 
Kama una choice chukua ya diesel, you gonna love it... Prado of course, that's unanimously a shoe in.
 
Back
Top Bottom