Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

kisana moja

Member
Aug 27, 2013
52
13
Habarini marafiki,

Naomba mwenye makala nzuri yenye ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake ama inayozungumzia suala la mahusiano kwa ujumla anitumie tafadhari.

Asante
 
Mkuu hakuna anayeyajua mapenzi na asikudanganye mtu.Kama ukipata hayo makala jifunze lakini usiyatilie maanani sana...Writers of those journals, most of them are losers of the highest order as long as Love is concerned.

Ulimwenguni hapa ni vizuri kujifunza na tunajifunza kwa kiasi kikubwa kutokana na mawazo ya watu wengine kwaiyo sioni ubaya pia kujifunza juu ya suala hilo kutok kwa hao waadishi.
 
Habarini marafiki
Naomba mwenye makala nzuri yenye ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake ama inayozungumzia suala la mahusiano kwa ujumla anitumie tafadhari. Asante
mkuu ingia google utapata nyingi sana
 
Hivi kumbe kuna watu wanateteleka hivi wakitendwa hadi kuanza kutafuta makala wengine yakisha tukuta haya huwa hatuna habari tunavuta mwingine na maisha yanaendelea!
 
The outrage..oppresses..loses can not be covered by tears...
 
Back
Top Bottom