High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,086
Mtoto wangu kamwe hata akose kazi lakini hawezi kufanya kazi ya utumwa ya Police au jeshi....
ni mawazo finyu majeshi yoyote yale duniani yanaongozwa kwa sheria na taratibu zake bila kuwepo sheria kali ndani ya jeshi nchi nyingi zingekuwa zinaingia kwenye migogoro ndio maana ndani ya majeshi hakuna sheria ya kuandamana kama njia ya kudai haki ya mfanyakazi mm sioni utumwa ndani ya jeshi lolote lile hizo ni taratibu zake tu mkuu unachotakiwa kumwambia mleta thredi ni vitu vingine lakini cyo kusema kazi ya polisi au jeshi ni utumwa mbona wapo wengi ndani ya majeshi wasomi wengi tu swala ukiwa mfanyakazi jiendeleze kusoma ndio unaweza kufika mbali mwaka juzi nlikuwa marekani mbona na huko ni hivyo hivyo tu
kazi ya polisi au jeshi siyo utumwa mbali ni kazi kama zingine