Ushauri: Badala ya Nyongeza ya Mshahara, Serikali ijikite katika ajira mpya na mfumuko wa bei

Peter Madukwa

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
3,135
2,471
Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi na malalamiko ya wafanyakazi kuhusu nyongeza ya mshahara. Hapo mwezi Mei serikali ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassani ikaamua kuwa mshahara uongezwe kwa 23.3 kwa kima cha chini hasa ukizingatia, katika awamu ya 5 kwa miaka takribani 6 serikali haikuongeza mshahara wa wafanyakazi

Itakumbukwa kuwa uchumi wa ulimwengu umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na athari za COVID19 ambao kwa kiasi kikubwa umetetemesha uchumi wa nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania. Atahari imekuwa kubwa zaidi ktk nchi zinazoendelea kwa sababu kwa kiaisi kikubwa nchi zinazoendelea zina ukuaji mdogo wa kiuchumi.

Ikaja Vita ya Ukraine vs Urusi mambo yakazidi kuvurugika na kusababisha mfumuko wa bei za bidhaa muhimu.

Mara baada ya Rais Samia kuingia madarakani alieleza wazi kuwa amekuta hali ya uchumi wetu ikiwa siyo nzuri huku akisisitiza kuwa kibubu amekikuta ktk hali tete kutokana na athari za COVID19. HIVYO basi ktk sherehe za mei Mosi za mwaka 2021 aliwaomba wafanyakazi wawe wavumilivu na watanzania tumpe muda wa kuwezesha hali ya uchumi kubadilika.

Rais Samia amefanya jitihada nyingi kwa muda mrefu ikiwemo kuendeleza ujenzi wa miradi ya kimkakati, kuongeza bajeti ya sekta ya kilimo, ukusanyaji mapato, kujenga miradi mipya nchini kote, kupandisha madaraja ya wafanyakazi, kuajiri wafanyakazi wapya kwa wingi ili watanzania wengi wapate ajira na kupunguza idadi ya wasio na ajira, kuimarisha mahusiano ya kimataifa na kuweka mazingira ya uwekezaji wa ndani na nje nk.

Kwa hakika kwa muda mfupi Rais Samia amefanya kazi kubwa ambayo tukiieleza hapa tutajaza kurasa nyingi.

Katika mwaka mpya wa fedha, Rais Samia ameongeza mshahara kwa wafanyakazi, hata hivyo kumekuwa na malalamiko kuwa nyongeza hiyo haitoshi.

KWA MTIZAMO wangu hata Rais Samia akaongeza kiasi gani ktk mshahara wa wafanyakazi bado wafanyajazi wataona mshahara ni mdogo.

Kwa msingi huo basi ni vema serikali ya Mh Rais Samia badala ya kujikita na nyongeza ya mshahara ijikite katika

●Kuongeza bajeti ya ajira mpya ili watanzania wengi wapate ujira
●Kuendelea kuwezesha sekta binafsi na kuimarisha mazingira ya uwekezaji ili kuendelea kuimarisha uchumi wa nchi yetu na kuongeza ajira ktk sekta binafsi
●Kuendelea kuimarisha ufanisi wa bandari zetu ili ziweze kuleta tija na kuongeza mapato ya ndani.
●Serikali iendelee kutilia mkazo ktk sekta ya kilimo na viwanda kwa sababu ndiyo zinatoa ajira nyingi.
●Serikali ijikite ktk kudhibiti mfumuko wa bei ya bidhaa (inflation) kwa sababu mishahara inaonekana midogo kutokana na kutoendana na bei za budhaa za mahitaji muhimu ya wananchi.

Kama serikali itaweza ktk kudhibiti mfumuko wa bei ya bidhaa nina hakika kuwa manung'uniko ya mshahara kuwa mdogo yatapungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu wafanyakazi wataweza kumudu mahitaji ya msingi.

Mwisho: Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia Suluhu Hassani alipewa kijiti cha kuongoza nchi yetu ktk kipindi kigumu sana kwa sababu alikuta hali ya uchumi ni mbaya sana, hivyo alikuwa na jukumu kubwa la kurekebisha uchumi uliopo.

Rais Samia anaongea uhalisia, serikali yake imejikita ktk dhana ya ushirkishwaji na uwazi (transparency). Kwamba hata fedha inayokopwa serikali ya Rais Samia inasema wazi kuwa tumekopa kiasi fulani cha fedha na matumizi yake anaweka hadharani. Rais Samia hataki kutudanganya fedha ya mkopo kuwa ni fedha ya mapato ya ndani.

Wale wanaombeza juu ya utendaji wake ni kwa sababu tu binafsi za kisiasa lakini ukweli ni kuwa, Rais Samia anafanya kubwa kubwa isiyomithilika na kwa kiasi kikubwa kazi hiyo imeonekana kwa matokeo halisi. WATANZANIA tunao wajibu wa kushirikiana na Rais wetu na kumuungana mkono hasa ktk kipindi hiki ambacho dunia imekumbwa na changamoto za kiuchumi ikiwemo kuongezeka kwa bei ya bidhaa muhimu.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Tanzania hakuna mfumuko wa bei.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220719-153021.png
    Screenshot_20220719-153021.png
    58.8 KB · Views: 12
Acha kujipendekeza Kwa ushauri mkia wa mbuzi! Aliyataka mwenyewe. Alikuwa na Magufuli Kwa miaka SITA na hakuwahi kumshauri kupandisha mishahara Wala madaraja watumishi na watumishi walijinyamazia na kumlilia Mungu ambaye alisikia kilo Chao.
Mshauri amfute mwigulu kazi kwani amemchonganisha na watumishi Kwa lengo la kumharibia image yake kwao!
 
Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi na malalamiko ya wafanyakazi kuhusu nyongeza ya mshahara. Hapo mwezi Mei serikali ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassani ikaamua kuwa mshahara uongezwe kwa 23.3 kwa kima cha chini hasa ukizingatia, katika awamu ya 5 kwa miaka takribani 6 serikali haikuongeza mshahara wa wafanyakazi

Itakumbukwa kuwa uchumi wa ulimwengu umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na athari za COVID19 ambao kwa kiasi kikubwa umetetemesha uchumi wa nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania. Atahari imekuwa kubwa zaidi ktk nchi zinazoendelea kwa sababu kwa kiaisi kikubwa nchi zinazoendelea zina ukuaji mdogo wa kiuchumi.

Ikaja Vita ya Ukraine vs Urusi mambo yakazidi kuvurugika na kusababisha mfumuko wa bei za bidhaa muhimu.

Mara baada ya Rais Samia kuingia madarakani alieleza wazi kuwa amekuta hali ya uchumi wetu ikiwa siyo nzuri huku akisisitiza kuwa kibubu amekikuta ktk hali tete kutokana na athari za COVID19. HIVYO basi ktk sherehe za mei Mosi za mwaka 2021 aliwaomba wafanyakazi wawe wavumilivu na watanzania tumpe muda wa kuwezesha hali ya uchumi kubadilika.

Rais Samia amefanya jitihada nyingi kwa muda mrefu ikiwemo kuendeleza ujenzi wa miradi ya kimkakati, kuongeza bajeti ya sekta ya kilimo, ukusanyaji mapato, kujenga miradi mipya nchini kote, kupandisha madaraja ya wafanyakazi, kuajiri wafanyakazi wapya kwa wingi ili watanzania wengi wapate ajira na kupunguza idadi ya wasio na ajira, kuimarisha mahusiano ya kimataifa na kuweka mazingira ya uwekezaji wa ndani na nje nk.

Kwa hakika kwa muda mfupi Rais Samia amefanya kazi kubwa ambayo tukiieleza hapa tutajaza kurasa nyingi.

Katika mwaka mpya wa fedha, Rais Samia ameongeza mshahara kwa wafanyakazi, hata hivyo kumekuwa na malalamiko kuwa nyongeza hiyo haitoshi.

KWA MTIZAMO wangu hata Rais Samia akaongeza kiasi gani ktk mshahara wa wafanyakazi bado wafanyajazi wataona mshahara ni mdogo.

Kwa msingi huo basi ni vema serikali ya Mh Rais Samia badala ya kujikita na nyongeza ya mshahara ijikite katika

●Kuongeza bajeti ya ajira mpya ili watanzania wengi wapate ujira
●Kuendelea kuwezesha sekta binafsi na kuimarisha mazingira ya uwekezaji ili kuendelea kuimarisha uchumi wa nchi yetu na kuongeza ajira ktk sekta binafsi
●Kuendelea kuimarisha ufanisi wa bandari zetu ili ziweze kuleta tija na kuongeza mapato ya ndani.
●Serikali iendelee kutilia mkazo ktk sekta ya kilimo na viwanda kwa sababu ndiyo zinatoa ajira nyingi.
●Serikali ijikite ktk kudhibiti mfumuko wa bei ya bidhaa (inflation) kwa sababu mishahara inaonekana midogo kutokana na kutoendana na bei za budhaa za mahitaji muhimu ya wananchi.

Kama serikali itaweza ktk kudhibiti mfumuko wa bei ya bidhaa nina hakika kuwa manung'uniko ya mshahara kuwa mdogo yatapungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu wafanyakazi wataweza kumudu mahitaji ya msingi.

Mwisho: Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia Suluhu Hassani alipewa kijiti cha kuongoza nchi yetu ktk kipindi kigumu sana kwa sababu alikuta hali ya uchumi ni mbaya sana, hivyo alikuwa na jukumu kubwa la kurekebisha uchumi uliopo.

Rais Samia anaongea uhalisia, serikali yake imejikita ktk dhana ya ushirkishwaji na uwazi (transparency). Kwamba hata fedha inayokopwa serikali ya Rais Samia inasema wazi kuwa tumekopa kiasi fulani cha fedha na matumizi yake anaweka hadharani. Rais Samia hataki kutudanganya fedha ya mkopo kuwa ni fedha ya mapato ya ndani.

Wale wanaombeza juu ya utendaji wake ni kwa sababu tu binafsi za kisiasa lakini ukweli ni kuwa, Rais Samia anafanya kubwa kubwa isiyomithilika na kwa kiasi kikubwa kazi hiyo imeonekana kwa matokeo halisi. WATANZANIA tunao wajibu wa kushirikiana na Rais wetu na kumuungana mkono hasa ktk kipindi hiki ambacho dunia imekumbwa na changamoto za kiuchumi ikiwemo kuongezeka kwa bei ya bidhaa muhimu.

Mungu Ibariki Tanzania.
Mkuu jukumu na kazi za serikal sio kuajiri..ingekuwa hivyo basi serikal za nchi tajiri zingeajiri wananchi wao wote..hakuna nchi duniani ambayo serikali yake inajivunia kuajiri watu wengi serikalini..haipo!..kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri kwa private sector kuajiri watu wengi..!.hata nchini wafanyakaz wa serikal hawafiki 700K jiulize wananchi mamilioni waliobaki wasubiri ajira za Gov?
 
Yote ni majukumu, ndo maana nikasema, kuweka mazingira bora ya uwekezaji ktk sekta binafsi ili wananchi wengi waweze kuwa na ajira na kipato.

Lakini pia nimegusia sekta ya kilimo na viwanda
 
Naona umetumwa kufanya spinning 🤣🤣🤣, kafanye tu kazi nyingine hii hailipi mkuu. Binafsi mm siyo mtumishi wa umma ila huyu kiongozi ana character ya uongouongo, Hana leadership skills, hajiamini, Kila wakati anakimbia uwajibikaji nk. Mfano, akibanwa sana na changamoto utasikia anaanza kumshambulia/kumsingizia Magufuli au kutuletea habari za Urusi, Ukrane au COVID, sasa kama kiongozi huwa anafanya kazi Gani ikiwa majukumu tu ya msingi hawezi? Hii ya Kula mshahara wa Bure wakati kazi haiwezi I think ni fraud kama fraud zingine tu-she is not up to the challenge.
-Nyerere aliposhindwa jambo alikibali persona responsibility, Mwinyi, Mkapa,Jk nao ilikuwa hvyo hvyo, ila huyu mwengine anatamani kusingizia hata majini ya kizimkazi.It's very disgusting.
 
Mfumuko wa bei na ajira ni silaha ya akina Kinana kuhakikisha Mama anachukiwa na Watanzania ili waweke mtu wao. Tena eti Mwigulu waziri wa fedha hahah
 
Hakuna Cha kinana Wala mhadhini- the backs stops with her, Kwan kumfukuza waziri wa fedha siipo ndani ya uwezo wake? Kama anamwangusha mbona hamtoi? inahitaji apelekewe profesa wa Sheria Ili aweze kutambua jukumu la ku-,hire and fire lipo ndani ya majukumu yake? Mm binafsi kama mwananchi wa kawaida taratibu naanza kupata mashaka makubwa sana na uwezo wake, which is not good at all.
 
Naona umetumwa kufanya spinning 🤣🤣🤣, kafanye tu kazi nyingine hii hailipi mkuu. Binafsi mm siyo mtumishi wa umma ila huyu kiongozi ana character ya uongouongo, Hana leadership skills, hajiamini, Kila wakati anakimbia uwajibikaji nk. Mfano, akibanwa sana na changamoto utasikia anaanza kumshambulia/kumsingizia Magufuli au kutuletea habari za Urusi, Ukrane au COVID, sasa kama kiongozi huwa anafanya kazi Gani ikiwa majukumu tu ya msingi hawezi? Hii ya Kula mshahara wa Bure wakati kazi haiwezi I think ni fraud kama fraud zingine tu-she is not up to the challenge.
-Nyerere aliposhindwa jambo alikibali persona responsibility, Mwinyi, Mkapa,Jk nao ilikuwa hvyo hvyo, ila huyu mwengine anatamani kusingizia hata majini ya kizimkazi.It's very disgusting.
Rais Samia amefanya kazi kubwa ktk kipindi kifupi. Suala la economic crisis ni ktk nchi nyingi duniani
 
Back
Top Bottom