G45
Senior Member
- Apr 21, 2016
- 163
- 94
Wasalaam!
Naomba nijikite moja kwa Moja kwenye mada husika, mimi ni muajiriwa mwaka wa tano sasa katika kampuni ya mtu binafsi bila ya mkataba lakini juzi tumeletewa mkataba ghafla tusign.
Je ni utaratibu gani nifuate ili kuusign mkataba huu coz tumefanyiwa kama surprise fulani hivi. Je hakuna malipo yeyote kabla ya kusaign?