Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,017
- Thread starter
- #21
Nashukuru sana kwa ushauri wako mammy be blessedPolee sana,usitoe hiyo mimba lea tu my dear wanawake wengi wanatafuta watoto hawapati ukifatilia utagundua huko nyuma walikua wanafanya sana abortion so wewe mungu kakubariki huna budi kumshukuru kwa baraka alokupatia achana na huyo mwanaume tena ikibidi kata kabisa mawasiliano naye,waeleze kwenu ukweli halisi wa mambo hope watakusaidia tu..ukishajifungua bado una nafasi ya kutengeneza future yako mtoto si kikwazo ndugu yangu.