Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,804
- 1,871
- Thread starter
- #41
Kwani kanyimwa kugombea? Wacha unafiki na uchawi.
Vijembe anavyopigwa havina dalili nzuri, na ndio maana nimeiandika Taarifa hii. Niliyoyasikia huko Aruisha yanatisha.
Kwani kanyimwa kugombea? Wacha unafiki na uchawi.
Dah! TUNTEMEKE unatisha! Ilipofungwa ID ya TII ukaja na ID ya PAA. Ilipofungwa ya PAA ukaja na Mtu Kwao. Ilipopigwa Bann na hiyo ukaja na ID ya Mwanahalis. Leo tena umeibuka na ID ya akiba ya Zawadi Ngoda. Inatosha kaka. Ngoja nimpigie simu Mbowe nimwombe basi upangiwe kazi ya Ulinzi pale Makao Makuu. Ile usiibe magazeti ya Chama na kwenda kuyauza kwa wauza maandazi.
Nakala: Molemo, Dudus, nk.
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Mods futeni huu uchafu.Tumechoka na upumbavu wa maneno haya kila siku.JF inakosa maana na heshima.
sio kosa lako!
JITAHIDI KUTUMIA UBONGO KUFIKIRI NA KUPAMBANUA MAMBO, MAKALIO YAACHIE KAZI YAKE.
Hii ndiyo tunaita "neno la busara."May I ask ? why Zitto ? why not Msigwa, Why not Sugu ? why not Mnyika ? kwani demokrasia ni kumjali au kumpatia nafasi Zitto tu ? Maana kila niliposikia neno kuhusu UDIKTATA, UKANDA na UKABILA WA CHADEMA ni pale alipokosa fursa Zitto tu ! Mh, I stand to be corrected ! lakini pia nadhani wale wanaompigania Zitto they know what is likely going to happen to CDM in a negative way. Tena nina hakika watu hao wanaopigana usiku na mchana kutaka nafasi yoyote kubwa ndani ya CDM apewe Zitto ni forward line ya upande wa pili na huenda wanatafuta ngome nyepesi. Kwani kwa kuwa na yule Mwenyekiti au Katibu wa sasa kuna ubaya gani ? kama Zitto aligombea akakosa, ni busara kusubili, muda utafika atagombea tena, sijui katiba inasema nini kuhusu vipindi vya uongozi na ukomo wake. kwani mwisho wa hivi vyama ni leo ? why haraka haraka ? Wakati wa uhuru tungesema nyerere ni mtu wa musoma tunataka wa Mtwara, tusingefika. kwa uvumilivu wetu, tulimpata wa Musoma, Tukampata Mzanzibar, Tukampata wa Mtwara, Tumepata wa Bagamoyo and all that. TUNASUBIRI kutoka Tabora au Kigoma, Tumepungukiwa na nini ? Kama Zitto hakuchaguliwa mwanzo, nadhani asubiri tu.
CCM- Mweyekiti wa sasa alichaguliwa na mkutano mkuu wa CHAMA.
CUF- Prof Lipumba alimshinda Prof Safari katika uchaguzi mkuu wa chama hicho.
CHADEMA- Mtei alimuachia Mbowe. Na mbowe sijui atamrithisha nani?
Kumbe hata historia ya Chadema huijui? Mtei alimwachia Mbowe? Na Bob Makani je, alikuwa nani?
Anyway, kabla hujakimbilia kusema mambo ya udikteta ndani ya Chadema naomba utafute ile video ambapo Slaa amemjibu na kumvua nguo shujaa wako Sitta.
Haijalishi kama hakukuwa na uchaguzi. The point is Mzee Mtei hakumwachia Mbowe.Ohh, samahani Bob Makani naye aliachiwa, si uongo huyu nilimsahau kabisa. Lakini unajua kuwa hakukuwa na uchaguzi wowote, naye aliachiwa tu. Hiyo video ninayo niliiidownload. Alimjibu lakini alitoa juani tu, hakukuwa na la maana sana.
Mijitu kama wewe enz za mwalimu akitafuta uhuru ni kupewa kaz maalumu ya chamaMmmmmm, Majina umenipa mengi ila umesahau matatu, Shirima, Mushi na Mungai. Vinginevyo Mbowe hata nipa kazi ya ulinzi.
Magazeti ya chama wakiyapata wauza maandazi ni bonge ya dili, maana wakisubiri wateja watasoma angalau jina la chama "CHADEMA" au Mbowe Au Mh Slaa.
Huna Jipya Ndugu yangu, jitambue nchi yetu Tanzania ili tupate maendeleo tunaitaji Rais Dikiteta, hivyo kajipange upya uje tena.
Me natokea kigoma na ninamuunga mkono Zito karibia hatua zake zote za kisiasa,isipokuwa kwa hili la urais tena kuptia CDM naona bado mapema mno na zile suti za ikulu nyingi zitampwaya,asiwe na haraka mbona bado mda upo2020,2025 na 2030,ushauri:azidi kushirikiana na vimngozi wenzie katika kukijenga chama,coz siku hizi yupo mbali na shughili za chama,akumbuke upinzani sio kusifiwa na ccm,na kutumia vbuyombo vyao kumuaminisha anakubalika kitaifa,aangalie tilicho wafanyia ccm katka jimbo la muhambwe pale wapinzani tulipo uhadaa umma wa wanaccm na wananchi kwamba bwana Jamali anafaa na kubalika zaidi kwa wananchi kuliko wote,wakaingia kingi na kumpitisha mgombea kilaza tukachukua jimbo,ndicho wanachomfanyia Zitto,alafu awakataze na kuwazui watu wake kukichafua chama chake CDM,kwa kueneza propaganda za udini na ukabila+ukanda coz hiyo 2015 Mungu sio Mbwiga kikimteua agombee urais kupitia CDM atapata tabu,asizani kwa kuunga mkono juhudi za kumchafua dk Slaa ndiko kummaliza kisiasa coz hakuna ajuaye kesho hata mtunzi wa kalenda,na hakuna mwenye rufaa ya kifo:by0754926271
We acha tu, Ukishaonja Demokrasia Udikiteta hauna nafasi tena. Ni ndoto za mwendawazimu kufikiri kuwa Mtu yeyote anaweza kuitawala Tz kidikiteta. Atachofanikiwa ni kuchafua nchi tu lakini kukaa hatakaa.
Niweke wazi kwenye hili la malipo. Silipwi hata senti tano, malipo yangu ni pale nyie mtapogeuka na kuelekea katika muelekeo mzuri, imara na madhubuti. Elewa, mafanikio ya CHADEMA ni mafanikio ya watanzania wote.
asante mkuu,lakini angalia palipo makalio yako panawaka moto ajab!!!!!!!!!!
Mnaposema hafai hivi mnamaanisha nini? Naomba maelezo ya kina ili nasi tufaidike. Cha msingi maelezo mengi yaelekee katika manufaa ya nchi zaidi kuliko CHAMA.
Kwa maelezo yuako inanipa picha kuwa klwa uelewavyo wewe CHAMA NI ZAIDI YA NCHI.
Na mwisho unaonaje kama Zitto na Mh Slaa wakapigiwa kura na atayeshinda awe ameshinda,hakuna sehemui nilipo tamka kwamba Zitto hafai,nilichosema kwa sasa zile suti za ikulu hazimtoshi vizuri may akizipeleka kwa fundi zikafanyiwe marekebisho,naunga mkono democracia na zikipgwa kura na atakaeibuka mshindi awe ndiyo huyo,kwa nini kwa 2015cmuungi mkono,kuna mambo ameshaindwa kuyasimamia vizuri siku hizi kama madini na hashirikiani na viongozi wenzake katika shughuli za chama,kam mikutano namaandamano mbalimbali katika operation za chama zaidi amekuwa akionekana kuwa karibu na vimngozi wa ccm ,hofu yangu wasiwe wanauundaa katika kuuepuka makundi ndani ya ccm na kumteua yeye kuyavunja makundi kwa kile cha bora wakose wote kama ilivyotumika kwenye vita ya uspika na inavyotaka kutumika UWT kwa kinna sofia na Kilango ;kisha wanakigoma tuonekane wasaliti wa mabadiliko kama ilivyowahi tokea kwa dk Kabulu.