Ukijadili upuuzi utakua mpuuz na mwshowe jibu lake litakua la kipuuz naomba MODS PIGA BAN HAWA MAADUI NAMBA MOJA WA TAIFA HILI KATIKA MAGEUZ YA KIFKRA NA KIUTAWALAUkishindwa hoja, ndoto yako kubwa ni kummaliza mpinzani wako kwa maguvu. Hizi ndizo zilikuwa mbinu za Akina Idd Amini Dadaa.
Ushauri wa bure: Unajisikiaje kama ungekuwa Balozi mzuri wa kueneza maneno ya ki-Demokrasia kuliko kuendeleza lugha ya kidikiteta. Fikiria sana hili litakusaidia mbele ya safari.