Ushahidi wa kesi ya ufisadi wa Richmond wakamilika, wahusika kupelekwa mahakamani

Status
Not open for further replies.
Habari nilizozipata muda si mrefu uliopita ni kwamba serikali imekamilisha ushahidi wa kesi ya Richmond... na watuhumiwa kufikishwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu muda si mrefu kuanzia kesho!

Richmond ipi tena? Umesahau kuna watu walishtakiwa wakati ule na hukumu ikatolewa? Japokuwa watu wengi hawakuridhika kwa kuwa waliamini washtakiwa halisi sio waliopelekwa mahakamani. Hata hivyo kesi ilitolewa uamuzi na hakuna dalili ikafufuliwa tena
 
...kama ni kweli hamna atakaeamini kesi hii kuwa inafanywa kwa lengo jema....maana JK amekaa madarakani kwa miaka karibia 7 baada ya richmond scandal lakini hakukuwa na kesi....Hivyo itakua miujiza kuskia kesi hii sasa....na itakua mnadhihirisha yale yalisemwa sana kuhusu utawala wa JK kuwa ni wa visasi....haswa pale anapokua amehitilafiana na wale aliofanya nao....Kesi hii kama kweli iafunguliwa itazidi kumpandisha hadhi Lowassa....as opposed to what they think....Kwasasa ccm wajue tu kuwa wameshikwa pabaya mno...yale waliyokuwa hawataki yatokee sasa yanatokea...This to me is the beginning of a very fast downfall for ccm....upepo huu hauzuiliki kwa mikono...

Kikwete kaharibu kabisa status ya majaji .....kila Mtu mwenye degree ya sheria ameweza kuwa jaji ...Kama yeyote alivyoweza kuwa DC
Ni Mfumo Huu pekee wa sheria ambao umefikisha mahakamani.......wale tu ambao yeye alitaka...double standard ..Mfumo Huu umeamua wengine wakiiba warudishe na wengine ...wapelekwe mahakamani..
Unapoona Mtu amebakiza Miaka miwili anachagua Majaji kuwa makumi ..ujuwe anataka kujaza judiciary na Majaji ambao anajuwa watalinda genge lake mbele ya safari
Lakini sio kitu kuwa serikali yeyote ijayo awe Lowassa au magufuli ....haitashindwa kurudia upya vetting ya Majaji wale ambao itaonekana hawawezi kukaa kwenye bench ...waendeekee kulipwa mishahara kuwa kuwa sio kosa Lao ....na kutakiwa Aidha waongeze sifa au wapangiwe kazi zingine ...naambiwa wapo ambao hata kuandika hukumu hawajawahi na wengine wanaandika mbovu
 
Habari nilizozipata muda si mrefu uliopita ni kwamba serikali imekamilisha ushahidi wa kesi ya Richmond... na watuhumiwa kufikishwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu muda si mrefu kuanzia kesho!

Umechelewa kupata habari zote au ulikua unaandika harahara? Balali aonekana , mafuriko yageuka kartina. Dah...lowassa hoyeeeeeee ukawa tumaini letu
 
Acheni uoga Rais ni Lowasa tu Alisema TB joshua unabii toka juu juu juuu huko kwa muheshimiwa mkuu wa wote
 
Nitatafurahi sana sana huyu jamaa anajiona kama Mungu bila yeye eti hakuna kiongozi bora peleka mahakamani ijulikane kuwa kuiba ni hatari

Mtajinyea mwaka huu, eti peleka jela, sio rahisi kama unavyofikiria, alafu nimeamini vijana wa ccm ni mazezeta.
 
Subirini tu hilo fisadi lenu mlilolipokea likipanda kizimbani....ndipo mtajua kama Serikali huwa inashindwa kesi...wajomba zenu kina Yona na Mramba wako wapi?

Kwi kwi kwi... Tulia utolewe gamba limeshika shingo. Mnalo mwaka huu
 
...kama ni kweli hamna atakaeamini kesi hii kuwa inafanywa kwa lengo jema....maana JK amekaa madarakani kwa miaka karibia 7 baada ya richmond scandal lakini hakukuwa na kesi....Hivyo itakua miujiza kuskia kesi hii sasa....na itakua mnadhihirisha yale yalisemwa sana kuhusu utawala wa JK kuwa ni wa visasi....haswa pale anapokua amehitilafiana na wale aliofanya nao....Kesi hii kama kweli iafunguliwa itazidi kumpandisha hadhi Lowassa....as opposed to what they think....Kwasasa ccm wajue tu kuwa wameshikwa pabaya mno...yale waliyokuwa hawataki yatokee sasa yanatokea...This to me is the beginning of a very fast downfall for ccm....upepo huu hauzuiliki kwa mikono...
hamna namna ikulu mwaka huu ni ya ukawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom