USD 1200 kwa kila Mzanzibari!

Pakacha said:
hayo mambo yana mazonge sana. Tatizo siyo Zanzibar kuanzisha vyombo kama hivyo, wanaweza kuanzisha, lakini vinashindwa kufanya kazi vinapingwa na vyombo vya Muungano ambavyo vinakuwa vinaanzishwa kwa sheria ya Bunge kwa mintarafu ya kuhudumia Tanzania nzima. sasa zile sheria za Bunge hazitoi provision kwa Zanzibar- ina maana hazitambui kuwepo kwa mamlaka ya Zanzibar jambo ambalo limo katika katiba (sheria Mama). Ni mazonge Bwana tukisema turekebishe -hamtaki- mnatwambia sisi ni ngumbaru tunaishia madrasa tu.

Pakacha,

..sasa katika suala la bandari huru Zanzibar chombo gani cha Tanganyika kinawazuia kinawazuia kufanya shughuli zenu?

..kwanini unashauri Bunge la Dodoma liweke "provision" kwa masuala ya Zenj, wakati tayari kuna malalamiko ya wa-Zenj kwamba hawataki masuala yao yaamuliwe Dodoma?

..mimi nadhani wa-Zenj muondoke tu ktk muungano huu. hii habari ya kurekebisha ni kupotezeana muda tu.

Spear,

..Zanzibar mkiamua kufanya kazi kwa bidii mnaweza kuwa kama Singapore.

..madai kwamba wa-Tanganyika wanawawekea vikwazo ni visingizio tu.
 
Hizo kele za ndugu zangu ni kelele za mfa maji. Ukweli ninaojaribu kukufahamisha ni kuwa Bunge la Jamhuri (na sisi tukiwemo humo ndani) likipitisha sheria hiyo sheria ina cover Jamhuri yote ya Muungano. sasa hata Zanzibar wawe na chombo chao cha Bandari huru chombo hicho kitakwama kufanya kazi zake kutokana na sheria zilizopo zinazotawala mambo ya Bandari na ukusanyaji wa mapato na makorokoro mengine. Ndipo ninapokueleza kuwa zile sheria za Bunge zingekuwa zinaweka provision kwa Zanzibar kwa kufuata nini sheria mama (Katiba ya Jamhuri) inavyosema kuhusu Zanzibar. Siyo Bandari ya Zanzibar iwe na hadhi kama vile bandari ya Dar au ya Mtwara katika sheria hiyo ya Jamhuri inayohusu Bandari.Dawa siyo kuvunja ni kutatua matatizo. Kwanini huna ujasiri wa kutatua matatizo -wewe na unakimbilia simplicity tu - Usivunje Bwana- Rekebisha.
 
Pakacha,

..sasa una maana kwamba SMZ na baraza la wawakilishi wamekiuka sheria za muungano kuanzisha mamlaka ya bandari ya Zanzibar?

..mimi nadhani wa-Zenj mna nia yenu iliyojificha ktk malalamiko haya. ndiyo maana nakwambieni ondokeni zenu sisi tutaendesha Tanganyika yetu wenyewe.
 
After a period of friction between Singapore and the central government in Kuala Lumpur, Singapore separated from Malaysia on August 9, 1965, and became an independent republic
Facing severe unemployment and a housing crisis, Singapore embarked on a modernisation programme that focused on establishing a manufacturing industry, developing large public housing estates and investing heavily on public education. Since independence, Singapore's economy has grown by an average of nine percent each year. By the 1990s, the country has become one of the world's most prosperous nations
.

From this paragraph, why Singapore attained economic development? Are you implying that it's because of separation from Malaysia? If yes, is there a causal linkage between separation and economic development? If yes, how the union between Tanganyika and Zanzibar affect that linkage?

It was just yesterday when I was reading a paper on East Asia Economic Miracle. The main reasons cited in the paper are huge foreign investments and demographic dividend (the benefit associated with low fertility rate and thus low dependency ratio) - large proportion of people in the prime working age. And here I am referring to Asian Tigers - Hong Kong, Korea, Taiwan and Singapore. South Asia is following the same trend. They have already lowered their fertility and soon they will benefit from demographic dividend. They have already trained their people, ready to take up jobs that will come with foreign investments. Remember, economic gain can only happen when there's investment. And the investment money doesn't grow in the trees. It must come from savings or from outside. If you have so many kids of dependency age, then you cannot save. All the money should go to support kids. This means no investment and thus no economic gain. Zanzibar can do all this regardless of whether they are in the union or not. The union should act as a catalyst rather than a hindrance.

Nje ya muungano, inawezekana Zanzibar kufanya vizuri zaidi (This is not a rule!). Hii si kwa sababu Seychelles au Singapore navyo ni visiwa na vinafanya vizuri. This is not a reason. Kuna visiwa pia kama Zanzibar na vinafanya vibaya. Watakapojitenga na kuendelea na maisha kama kawaida (business as usual), then they will be screwed up. All it takes is hard working, increase income per capita and invest large share of income. The point I am trying to derive is they have to be sure with the hurdles slowing their economy. Hata kama muungano unawakwamisha, kama waki-invest huge share of what they are generating now [no matter how little it is] on human capital, then human capital can easily overcome the perceived "kero za muungano". A Professor of mine once said "Healthy, educated workers are just enormously more productive than sick or ignorant ones".

Watu wa Zanzibar kung'ang'ania kuwa muungano unawakwamisha na kutumia muda mwingi kutafuta njia ya kujitoa kwenye muungano kinaweza kuwa ni chanzo kingine cha kudumaa kwa uchumi wa Zanzibar (grossly negligent). I am afraid they may be wasting their time and deviate scarce resources to something which may not be a problem by itself. What if they behave like they are not in the union? What will happen? Will they export more cloves than now?
 
Zungu Pule: mawazo yako yameenda sana shule Mkuu!

Investment in Massive human resources ni jibu la matatizo mengi Africa!

Quality and not quantity of human resources!

Sikubaliani na wewe hilo la kuwa na watoto wachache (1 au 2) kwa nchi kubwa kama Tanyanyika! Naogopa irrevisible population decline experience ya nchi zingine!
 
Time has come we can`t go on and on like rabbit ,hizi kasumba haziowafanya wazanzibar kubadilisha msimamo walionao. kufanya hivyo itakuwa ni kumzuwilia haki zake za kibinadamu,
 
..inaelekea Mzee Thabit Kombo aliwaelewa vizuri sana wapinga Mapinduzi na Muungano.

..hawa wenzetu wanajiona wao ni binadamu zaidi kuliko sisi Waafrika. ndiyo maana hawaoni shida kudai tugawane mapato 50/50 wakati Zanzibar ni 1/37 ya wa-Tanzania wote.
hapa mzee alishapewa tumbaku, alikuwa anapiga chafya tu. Ndo yeye aliyelia kama mtoto mdogo alipomshuhudia Jumbe na Nyerere wakiimaliza ASP, na kuinyamazisha sauti ya wazanzibar katika mambo ya muungano.
 
ZP.
Watu juzi juzi tu ndo watasema hovyo tu kuwa zanzibar haitaweza kitu nje ya muungano. nyie! zanzibar ni kitu kingine hamuwezi kuifananisha vishindo vyake na visiwa vingine hata na hiyo iliyokuwa Tanganyika. Mnajua kuwa 1964 hata ikulu ya Marekani ilishatetemeshwa na vishindo vya kanchi haka kadogo, na rais L.B Johnson siku hizo haraka akataka msaada wa Nyerere kuzuiwa "another CUBA in Africa",kwa dhana ileile ya kuwa zanzibar ni "gateway" ya Africa na kuwa "zumari ikipigwa zanzibar hata wamaziwa makuu hucheza". Ikahofiwa "mapinduzi ya kijamaa" yameshapita "mlangoni" kuingia ndani Africa, ndo miongoni mwa sababu kubwa za muungano huu wa kifisadi kuasisiwa.(rejea AMRITA WILSON: UHASIDI WA MAREKANI KATIKA MAPINDUZI YA ZANZIBAR)
kwa hiyo zanzibar wont be screwed up kwa kujitenga na Tanganyika kama itaona hivyo ni sawa kwake.
kwakuwa haikuwahi kufa njaa kabla ya kuungana na wala haitakufa njaa kama itaamua bass.
 
Ikiwa hawa wahindi saba na vibaka wachache wanawapeleka mchakamchaka watakuja kuiweza Zanzibar ,Hao hapo WaPemba wameandika barua tu ,je wakiamua kufanya maandamano kila siku.
 
Hivyo huyo Professor alitumia kigezo gani katika kufikia hiyo conclussion yake?
Zanzibar haijawahi hata iku moja kuitegemea Mainland kwa uhai wake bali mara nyingi inapokuwa kwenye matatizo huachwa bila msaada wowote.
Inawezekana watu wakamuamini huyu Bwana kwa neno la uprofesa lakini ukweli wenyewe ni kuwa haelezi ukweli.
Kigezo chake kikubwa ni kushindwa zanzibar kulipia mchango katika Muungano na pili suala la umeme. Hili la umeme ni suala la Biashara na hili la mchango wa zanzibar kwenye muungano na tujiulize kweli ipo haja na stahiki ya malipo hayo?
Tuangalie Serikali ya Muungano inalipa huduma gani kwa Wazanzibari? Kitu kimoja i vyombo vya usalama. Jee zanzibar inahitaji huduma hiyo kama inavyopangiwa? Mbona vikosi vya ulinzi vya SMZ vinavyolipwa na SMZ yenyewe vinatosha kwa kulinda usalama au kwa maana nyengine kuna double cost kwa usalama.
Chombo chengine ni mambo ya Nje, jee Zanzibar inahitaji na inapewa haki hasa katika huduma hii? Zanzibar ingeweza kuchagua sehemu chache na wafanyakazi wachache kuepukana nagharama inayobebeshwa sasa wakati upande wa pili ndio unaonufaika zaidi.
Suala jengine ni suala la utawalla na vyombo vya dola ikiwamo Bunge. Zanzibar inawatungaji wake wa sheria sasa nini haja ya double cost kwa kuweka Wabunge wa Zanzibar katika serikali ya Tanganyika. Wabunge hao wanalipwa mapesa chungu nzima wakati hawana kazi yoyote ndani ya chombo cha kutunga sheria cha Tanganyika. Kuna suala la Makamo wa Rais na matumizi yake jee yana umuhimu huo? Kwani wkati wa Abeid karume kulitumika pesa za Tanganyika kumuhudumia kama Makamo wa Rais wa Tanzania?
Unapokuja kwenye Vyama vya Siasa kuna haja gani kuhudumia vyama ambavyo havina hata umuhimu na Zanzibar? Kwanini iwe lazima vyama viwe vya Muungano wakati wanaochaguliwa ni wa Zanzibar/ Si njia tu ya kudai kuwa zanzibar itowe michango?
Halafu hili suala la kuchangia lina uwiano na huduma na wanaotowa huduma kwa pande mbili?
Nafikiri huyo Profesa hana budi afanye utafiti wake kwa kupewa hadidu rejea na Wazanzibari wenyewe. Ama hili la Zanzibar kuathirika na kuvunjika Muungano upo ukweli kiasi kidogo kwa vile hili lilipangwa makusudi na Wakuu wa Tanganyika LAKINI srvival ya Zanzibar is a sure thing and overtaking Mainland over Development is even surer.
 
Hivyo huyo Professor alitumia kigezo gani katika kufikia hiyo conclussion yake?
Zanzibar haijawahi hata iku moja kuitegemea Mainland kwa uhai wake bali mara nyingi inapokuwa kwenye matatizo huachwa bila msaada wowote.
Inawezekana watu wakamuamini huyu Bwana kwa neno la uprofesa lakini ukweli wenyewe ni kuwa haelezi ukweli.
Kigezo chake kikubwa ni kushindwa zanzibar kulipia mchango katika Muungano na pili suala la umeme. Hili la umeme ni suala la Biashara na hili la mchango wa zanzibar kwenye muungano na tujiulize kweli ipo haja na stahiki ya malipo hayo?
Tuangalie Serikali ya Muungano inalipa huduma gani kwa Wazanzibari? Kitu kimoja i vyombo vya usalama. Jee zanzibar inahitaji huduma hiyo kama inavyopangiwa? Mbona vikosi vya ulinzi vya SMZ vinavyolipwa na SMZ yenyewe vinatosha kwa kulinda usalama au kwa maana nyengine kuna double cost kwa usalama.
Chombo chengine ni mambo ya Nje, jee Zanzibar inahitaji na inapewa haki hasa katika huduma hii? Zanzibar ingeweza kuchagua sehemu chache na wafanyakazi wachache kuepukana nagharama inayobebeshwa sasa wakati upande wa pili ndio unaonufaika zaidi.
Suala jengine ni suala la utawalla na vyombo vya dola ikiwamo Bunge. Zanzibar inawatungaji wake wa sheria sasa nini haja ya double cost kwa kuweka Wabunge wa Zanzibar katika serikali ya Tanganyika. Wabunge hao wanalipwa mapesa chungu nzima wakati hawana kazi yoyote ndani ya chombo cha kutunga sheria cha Tanganyika. Kuna suala la Makamo wa Rais na matumizi yake jee yana umuhimu huo? Kwani wkati wa Abeid karume kulitumika pesa za Tanganyika kumuhudumia kama Makamo wa Rais wa Tanzania?
Unapokuja kwenye Vyama vya Siasa kuna haja gani kuhudumia vyama ambavyo havina hata umuhimu na Zanzibar? Kwanini iwe lazima vyama viwe vya Muungano wakati wanaochaguliwa ni wa Zanzibar/ Si njia tu ya kudai kuwa zanzibar itowe michango?
Halafu hili suala la kuchangia lina uwiano na huduma na wanaotowa huduma kwa pande mbili?
Nafikiri huyo Profesa hana budi afanye utafiti wake kwa kupewa hadidu rejea na Wazanzibari wenyewe. Ama hili la Zanzibar kuathirika na kuvunjika Muungano upo ukweli kiasi kidogo kwa vile hili lilipangwa makusudi na Wakuu wa Tanganyika LAKINI survival ya Zanzibar is a sure thing and overtaking Mainland over Development is even surer.
 
Ukitaka kuwajua wazanzibari njoo kwenye thread hii. Wako kitu kimoja kuilinda na kuitetea nchi yao!
 
Na mkizidi kuhoji juu ya muungano mtaaambiwa mnataka kuwarejesha waarabu!
 
Na mkizidi kuhoji juu ya muungano mtaaambiwa mnataka kuwarejesha waarabu!
Wewe Bwana!! tunaongea katika karne ya 21 hii. Hayo mambo ya waarabu na masultani ni ya karne ya 20. Sisi wa karne ya 21 na watoto wetu hatuyaelewi hayo. Tunachokielewa ni kuutaka Muungano ututendee haki hivi sasa. Unaona hatuhoji hata kuundwa kwake kwa sababu hayo ni ya karne ya 20.
 
Pakacha,

..sasa una maana kwamba SMZ na baraza la wawakilishi wamekiuka sheria za muungano kuanzisha mamlaka ya bandari ya Zanzibar?

..mimi nadhani wa-Zenj mna nia yenu iliyojificha ktk malalamiko haya. ndiyo maana nakwambieni ondokeni zenu sisi tutaendesha Tanganyika yetu wenyewe.
Wamekiuka sheria ipi wewe. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inatambua kuwepo kwa Zanzibar, mamlaka yake na vyombo vyake (ndiyo hivyo SMZ na Baraza la Wawakilishi) kwa ajili ya kuendesha mambo yanayowahusu ambayo hayamo katika makubaliano ya Muungano. Endesheni Tanganyika yenu. lakini madai yetu ni mengi na elewa ni pamoja na fidia katika miaka hii 45 mliyotuweka katika Muungano batili.
 
Ukitaka kuwajua wazanzibari njoo kwenye thread hii. Wako kitu kimoja kuilinda na kuitetea nchi yao!
Bila shaka hata wabara wote wapo kitu kimoja kutka kuimeza zanzibar, unakumbuka Mh. Mwakyembe alipowatukana wazanzibar na viongozi wao bungeni kwa kuwaita "watovu wa adabu" kisa wamekataa nchi yaokuwa sawa na mkoa wa Mwanza, walioinuka kupongeza ufyoko wake ni wabunge kutoka bara nilimuona hata Mh. Zitto akimpa mkono huku akikenyua meno yake
 
Zungu Pule: mawazo yako yameenda sana shule Mkuu!

Investment in Massive human resources ni jibu la matatizo mengi Africa!

Quality and not quantity of human resources!

Sikubaliani na wewe hilo la kuwa na watoto wachache (1 au 2) kwa nchi kubwa kama Tanyanyika! Naogopa irrevisible population decline experience ya nchi zingine!

Right. Lakini hatuwezi kuogopa matatizo kama "aging population" sasa hivi. Faida za kuwa na idadi ndogo ya watu bado ni kubwa. Angalia Ulaya watu bado hawataki kuzaa ingawaje wana upungufu wa watu. The cost of childbearing is just so huge! [especially if the focus is on quality rather than quantity of the kids]. Better take in skilled labor from somewhere than increase birth rate. Encouraging high birth rate as a way to avoid the problem of aging population will simply delay the day of reckoning!

Ni kweli nchi ni kubwa lakini umasikini unaathiri ngazi ya familia. Also notice, a significant portion of our land is a marginal land that is not suitable for production. Hata kama tuna ardhi kubwa, uzalishaji bado ni mdogo sana. Sasa, fikiria kugawanya kiasi kidogo kinachozalishwa kwa familia yenye watoto sita na familia yenye watoto wawili. I mean, it's just axiomatic, small family size makes a huge difference!
 
Kwa mfumo wa Muungano tulionao ni vigumu sana kwa Zanzibar kusonga mbele. Si unakumbuka sakata la bandari pale Zanzibar ilipokuwa katika harakati ya kuifanya bandari ya Zanzibar kuwa bandari huru na mwisho wake ulikuwaje kiuchumi kwa Zanzibar.Viongozi wengi ni hand picked tokea bara hivyo hawana dira yoyote na mstakabari wa Zanzibar. Wameishia kutekeleza matakwa ya wale waliowaweka madarakani na kuendelea kutuaminisha kuwa Zanzibar bila bara haiwezi kusonga mbele kama wanavyotuaminisha kuwa Tanzania ni nchi maskini wakati tumekalia raslimali kibao. Wale ambao wanaonekana kuwa na dira na nchi ya Zanzibar wameishia kwenye misukosuko mfano hayati Karume, Jumbe, na Hamadi. wengine waliobaki wangi wao wanafanana na viongozi wenzao wa bara katika kuendesha nchi pasipo na mpangilio maalum.
Maendeleo ya zanzibar yanazuiliwa na Tanganyika. Hizo rasilimali zilizoko Bara bado Tanzania ni nchi moja masikini katika nchi masikini zaidi duniani. kwanini? kwasababu waTanganyika wameukubali mfumo wa kisiasa na viongozi ,mafisadi na rushwa.
kwa hali hiyo Tanganyika ndio inayo zuwia maendeleo ya Zanzibar. kumbukeni muungano miaka ya mwanzo. ZANZİBAR ilikua wapi kı maendeloe . hiyo tabia ya uongozi mbovu wa Bara ndio imepelekwa Zanzibar na sasa Zanzibar iko katika hali mbaya sana. Hata maji yamekua hayapatikani wakati sio muda mrefu Zanzibar walikua manauza maji . Wazanzibar ni millioni moja tu. hawa watu wanaweza kujiendesha wenyewe bila ya hata shilingi ya Tanganyika. wanzanzibar walioko nje wanaweza kusaidia kiasi kikubwa kiuchumi kuliko Tanganyika. Muungano ni mzigo kwa Zanzibar.
 
Right. Lakini hatuwezi kuogopa matatizo kama "aging population" sasa hivi. Faida za kuwa na idadi ndogo ya watu bado ni kubwa. Angalia Ulaya watu bado hawataki kuzaa ingawaje wana upungufu wa watu. The cost of childbearing is just so huge! [especially if the focus is on quality rather than quantity of the kids]. Better take in skilled labor from somewahere than increase birth rate. Encouraging high birth rate as a way to avoid the problem of aging population will simply delay the day of reckoning!

Ni kweli nchi ni kubwa lakini umasikini unaathiri ngazi ya familia. Also notice, a significant portion of our land is a marginal land that is not suitable for production. Hata kama tuna ardhi kubwa, uzalishaji bado ni mdogo sana. Sasa, fikiria kugawanya kiasi kidogo kinachozalishwa kwa familia yenye watoto sita na familia yenye watoto wawili. I mean, it's just axiomatic, small family size makes a huge difference!

Zungu Pule,

Ok! May be tuwe na thread ingine ya maendeleo vs population!

1. Bado siafikiani na wewe! Umaskini wetu hautokani na idadi kubwa ya watoto tunaozaa tu! Matatizo yetu yanasababishwa na mambo mengine..high fertility ni indirect cause! If we invest kuondoa umaskini na kuboresha elimu haswa ya kina mama naturally watu wataamua kuwa na watoto wachache! Kwa taifa kama Tz at 1m sq kms bado naona ni nchi kubwa: we need people kwa sasa! Quantity kwanza, quality we improve as we go along!

2. Kilio changu ni kwa wasomi: eti unakuta Professor mzima nae anaamua kuwa na mtoto mmoja..wakati Mmachinga ana watoto 7: je wasomi is it fair for the future welfare of our country? Yet msomi pamoja na kupass on genes zuri kwa futute nation, pia watoto hata wakiwa wanne atawasomesha hadi Chuo! Sema modern life inatufanya too selfish: badala ya kulea watoto, tunataka kwenda kutanua kule Mauritius, n.k

Kwa upande wangu Tz bado tunahitaji watu wengi: angalia Nigeria ina watu 150m na eneo ni sawa na Tz yenye 41m!
 
Sarafu ya Shilingi 25 mwaka 1974. Thamani doll 1 ya Kimarekani mwaka huo ilikuwa wastani wa Shilingi 7 za Kitanzania.

CEAve_6WAAEkKEd.jpg
 
Back
Top Bottom