MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,519
- 1,367
Kosa kubwa alilolifanya Marehemu Mzee Karume ni Kuchukuwa Nchi ya Watu Waungwana na Kuwaunganyisha na Watu wasio na Utaratibu wowote. Kwa kosa hilo alilolifanya Karume akiwa sio raia wa Zanzibar leo kwa kipindi kirefu limeleta Maumivu makubwa sana kwa Wazanzibari kwani hivi sasa wamekuwa ni Dhaifu mbele ya Watanganyika.
Zanzibar ilikuwa ni Nchi Kamili ikiwa na KITI chake UN na ikijiongoza kwa kuwahudumia watu wake kwa kila fani kuanzia Elimu, Afya, Ajira na hatukupata Kusikia katika Historia kuwa WAZANZIBARI Walikuwa Omba Omba walijimudu kwa kila kitu, na ndio maana wa wakati huo walisema ZUMARI LIKIPULIZWA ZANZIBAR WALIO KATIKA MAZIWA MAKUU WANACHEZAAA, haya haya kuwa maneno ya mchezo Wakicheza kweli na ndio ikwa sehemu ya HUSUDA Kwa Zanzibar hasa kwa wale waliokuwa na chuki kwa watu wa VISIWA, walijaribu na kufanikiwa kuingiza siasa za Chuki na Fitina na Mwishowe Mgeni kutoka KONGO (KARUME) Akajinyakulia Nchi Njema na kuitumbukiza katika Tanuri la Moto la MUUNGANO.
Hebu iachieni na Muuone kwani hizio sababu za Kijinga kuwa Watauuwana kati ya Unguja na Pemba zinaukweli gani? Waliouwa watu wa Visiwa hivi wapatao 13000 ni kutoka bara na Waliletwa na Julius Nyerere, Kambona, John Rupia, Rashid Kawawa, hawa ndio Waandalizi wa Mapinduzi ya Mauaji kwa Zanzibar, nani asie juwa kama hamjui tunakujuilisheni kuwa Kilichotokea Zanzibar tarehe 12.1.1964 sio MAPINDUZI NI MAVAMIZI yaliosimamiwa na JULIUS NYERERE akimtumia MKONGO ABEID KARUME na WATANGANYIKA na ndio maana wakatunzwa kuwa MEMBA WA BARAZA LA MAPINDUZI LA MWANZO nao ni
ABDALLAH SAID NATEPE
KANAL SEIF BAKARI
HASSAN NASSOR MOYO
JOHN OKELLO
SAID WASHOTO
KHAMIS DARWESHI
KHAMIS HEMEDI NYUNI
ABDULLA KASSIM HANGA
SALEH SADALLA
ABDUL AZIZ TWALA
MAVAMIZI ya Zanzibar ni Uchafu mtupu na ni udhalimu wa hali ya juu kwa Taifa Dogo lililokuwa likiendelea kwa Kasi dhidi ya TAIFA Kubwa lilokuwa halina DIRA WALA MUELEKEO matokeo yake ni haya tunayoyaona na kuyashuhudia hivi sasa.
ZANZIBAR IACHWE PEKE YAKE NA MUUONE TENA ZUMARI LITAKAVYO PULIZWA MTACHEZA NYOTE
Visiwani wakianchwa wenyewe ni taabu tu tupu!
Hizi chuki zinavyumilika ndani ya Muungano na sii tofauti!