Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Mtu huyu wote tunamjua ni matumaini yangu Usaliti wake sasa utafika kikomo kama Chama kitaamua kuwa na busara za kutosha katika kujenga siku njema zinazokuja . Mtu huyu amefanya mambo mengi mabaya katika Chama yanayohusu usaliti na amewaponza Vijana wengi na kuangamiza ndoto zao kwa sababu ya mambo yake binafsi .

“ To me, the thing that is worse than death is betrayal. You see, I could conceive death, but I could not conceive betrayal.” Malcolm X



Lema Godbless - Mp
Aaaah Godbless J Lema wewe ni shujaa na si mnafiki sasa kwa nini hapa unapepesa macho si useme tu mtu huyo ni nani ili nasi tumjue!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Safety last lazima tusimame kwenye ukweli kuwa Lema kapotoka kabisa na katika hili ni busara kumwambia kapotoka na malalamiko yake ayapeleke kwenye vikao vya chama.

Huu utoto alio ufanya lema ni wa kukemea kabisa na hauendani na hadhi yake.

Ni vyema kumwambia kwenye hili hana tofauti na mwigamba.
mkuu huo ni ukweli, kwa yeyote mpenda haki na ukweli hatasita kusema hilo!
 
Last edited by a moderator:
lema.... Endelea kuwanyoosha tu hawa umepitia mengi na unajua mengi ..hatuitaji wasaliti kwenye chama kwa gharama yoyote ile
 
Hata kemewe kamwe madamu amemgusa Zitto. Kumshambulia Zitto ndiyo impunity yenyewe kwenye CDM. Fanya kosa lolote lakini wewe mshambulie Zitto kosa lako litakuwa limesamehewa. Mark my words Lema hatakemewa, atapongezwa na sasa watakuwa wanashangilia huko waliko Dodoma. Na vijana wao akina Ben wanaripoti jinsi alivyowasha moto!

Endelea kutaja majina ya watu na kuwabatiza ... Unadhani unatafuta sympathy hapa kumbe unazidi kuji-expose!
 
Inabidi chama kimsikilize Main Actor Jason Bourne A.K.A Yericko Nyerere A.K.A Mfanyakazi wa Ikulu.

Kama anavyodai, yeye kazi yake ya ku-act waliyomtuma ameishaimaliza baada ya kuwa unmasked kilichobaki ni viongozi wa CHADEMA kufanya kazi yao.
Kweli ukiwa tapeli huwezi kuacha utapeli.

This is name calling.Unastahili adhabu
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio kazi waliokupa, kutetea ujinga halafu unajifanya mtu wa principle. Kila siku unajifanya mtetezi wa watu kutumia vikao. Sasa huyo mjinga mwenzako Lema alishindwa nini kumpeleka huyo msaliti kwenye vikao? Woga na uwongo ndio mlichobaki nacho. Mbona hapa makao huna ubavu wa kupiga kelele, badala yake unakesha mitandaoni.

It's so funny kwamba Lema hajataja jina la mtu lakini wewe umekua mhanga wa post yake kupita maelezo.Umepata ulichostahili na bado.
 
Chadema ni chama ambacho nilikuwa nakipenda sana..kuanzia viongozi mpaka itikadi ya chama.Lakini naona siasa za ukanda zimeshamiri sana,kuna watu ndani ya chadema wanajifanya wao ndiyo kila kitu. Ndugu sisi tunafahamu tangu zamani ya kwamba wewe unaogomvi binafsi na zitto,uogomvi huo umetoakana na roho yako mbaya na kupenda kufanya siasa za fujo amabazo kamana makini kama zitto hawezi kufanya.
Huu upumbavu ulioandika leo ni kumlenga zitto moja kwa moja,unapenda sana wewe uonekane wewe ni msafi kuliko wengine, na pia wewe ni mtu wa kujilimbikizia mali,,ndiyo maana kwenye kikao umeinuka na kuanza kumtusi zzk kwa madai kwamba yeye ndiye mpingaji mkuu wa ongezeko la mshahara wa kifisadi kwa wabunge. Wewe Lema ni -------- sana,hata ufanye nini hauwezi kumshusha zitto, huna uwezo hata kidogo wakuweza kumshusha zitto!!!kwanza tangu ufike bungeni hakuna hata jambi jema amabalo umewahi kusimamia kwa manufaa ya wananchi, mara zote vitu unavyosimamia wewe ni vitu vya kipuuzi, vitu amabavyo mwananchi wa kawaida havimgusi.Elimu yako ni ndogo ndiyo tatizo kubwa linalokufanya uwe na roho mbaya juu ya zzk.
Yaani -------- kama wewe unajifanya unauchungu na chama kuliko zzk????kwa lipi ulilofanya mpaka chama kikawa na nguvu nchi nzima,zaidi ya siasa za kipuuzi na wapuuzi wenzio arusha. Wewe na wajinga wenzio ndiyo ambao munakiua chama.
Yaani mijitu mingine munauzi sana,yaani wewe mjinga wakumuona zzk msaliti....halafu wewe ndiye mwenye uchungu na chama!!!!!

Maneno ma Zitto sana haya.
 
Last edited by a moderator:
wewe kikaragosi na njaa kali kaa utulie kabisa,

kama umeamua kumshawishi huyu mpuuzi mwenzako lema katika vita yenu na zitto kabwe tunapenda kuwahakikishia kwamba mtafeli tena kwa mara nyingine,

njaa kali na wachumia tumbo kama nyinyi,sisi ndio tutakuja sasa rasmi kuikomesha bii biashara yenu ya utumwa,

wasalimie mabwana zako wote wanaokutuma,na uwaambie shughuli ya zitto kabwe ni pevu sana,kama walidhani wataendeleza ukanda,udini na ukabila safari hii wamepotea njia sana,zitto atakomaa ndan ya chama hiki,na mamluki na njaa kali kama nyinyi hamtafika kokote...

Toka ulipoanza kutumika na maCCM umekuwa mtu wa ajabu sasa, ukitaka kujua angalia post zako za nyuma anyway vipi gas inatoka?
 
Kuna wanaosema Adui watapata Mwanya.Ni bora wajue kuwa mipango yao kuwatumia Traitors haitafanikiwa na inajulikana kama ambavyo katibu Mkuu alivyotangaza kubaini mbinu chafu za kuvuruga uchaguzi wa ndani wa chama

Wiki mbili zilizopita niliwataja wasaliti wa mkoa wa singida ukanipinga vikali ukinitaka nitoe malalamiko kwenye vikao halali,leo unamsapoti lema ambae ni kiongozi mkubwa,anapolalama humu,badala ya kufuata katiba? Wewe saanane ni bonge la mnafiki,na sasa naamini una kazi maalum ya kuua chama.
 
Kwa wengine usaliti na unafiki ni ajira tosha ktk siasa za Tz hivyo usishangae kamanda..To very action there is reaction but in opposite direction.
 
Hivi CHADEMA haina vikao? Au JF ndio vikao vya CHADEMA? Hii yooote inaonyesha kukosekana kwa ukomavu ndani ya Chama; inaonyesha majungu ndani ya chama; inaonyesha kila hali ya Chama cha kisiasa ambacho kinakaribia kukosa sifa za chama cha siasa.

Viongozi wa chama wanashambuliana kwenye mitandao? Hivi kweli huwa mnaongea huko kama kuna vikao au ndio kila mkikutana ni ngumi tu!
 
Mchaga mfanyie yote atakaa kimya lakini ukigusa hela yake basi jua umekwisha. Zitto atajuta kwanini alitibua dili la hawa jamaa zetu.

Maskini wewe bado upo kwenye fikra za ujima kujadili makabila.JF imeruhusu fikra hizi zishamiri hapa.Sio healthy kwa umoja wetu.Ubaguzi na chuki kwa wachaga au kabila lingine lolote ni kielelezo cha ukomo wa fikra na social frustration
 
Wiki mbili zilizopita niliwataja wasaliti wa mkoa wa singida ukanipinga vikali ukinitaka nitoe malalamiko kwenye vikao halali,leo unamsapoti lema ambae ni kiongozi mkubwa,anapolalama humu,badala ya kufuata katiba? Wewe saanane ni bonge la mnafiki,na sasa naamini una kazi maalum ya kuua chama.

Vikao halali ndio mahala ambapo Lema angepeleka tuhuma kama hizo badala ya kuja kulalama kwenye mtandao. Mtandao unaki expose chama na kuonyesha jinsi ambavyo hakiko organized
 
Hivi CHADEMA haina vikao? Au JF ndio vikao vya CHADEMA? Hii yooote inaonyesha kukosekana kwa ukomavu ndani ya Chama; inaonyesha majungu ndani ya chama; inaonyesha kila hali ya Chama cha kisiasa ambacho kinakaribia kukosa sifa za chama cha siasa.

Viongozi wa chama wanashambuliana kwenye mitandao? Hivi kweli huwa mnaongea huko kama kuna vikao au ndio kila mkikutana ni ngumi tu!

Viongozi gani wameshambuliana au mkuu na wewe siku hizi umeachana na ujenzi wa hoja kwa facts na kuziamini zaidi hisia katika debate humu?
 
It's so funny kwamba Lema hajataja jina la mtu lakini wewe umekua mhanga wa post yake kupita maelezo.Umepata ulichostahili na bado.

Wewe wacha utoto humu JF. Jina jina, jina linahusu nini na yeye anajulikana ni juzi tu ameshambulia Zitto kuhusu posho?

Unataka kukataa kuwa anaeongelewa sio Zitto?

Msome hapa chini kibaraka mwenzako anaejiita Yericko Nyerere kamtaja jina. Unataka nini zaidi?

Mheshimiwa Lema,

Hakika mimi niseme maneno machache tu,

Kwamda wa miaka 8 niliyoanza kuhudumu katika siasa kali niseme wazi, kikwazo kikuu cha kuelekea mageuzi ya kweli katika nchi hii kupitia siasa za mageuzi ni Zitto Zuber Kabwe,

Narudia tena Zitto Zuber Kabwe ndie msaliti namba moja na ndie kiongozi wa migogoro yote kila itokeapo ndani ya Chadema,

Sisi tumemaliza kazi yetu sasa tumewaachia wafanyamamuzi,

Sasa mkimshindwa tutachukua jukumu la kihafidhina zaidi wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom