Usalama wa Taifa Chunguzeni Msikiti wa Vingunguti Viwandani

Status
Not open for further replies.
Kumbe Kareti ni ugaidi basi taifa la China wote ni magaidi, Kareti ni utamaduni wao.
Mkuu, Karate inayofundishwa misikitini! Wewe hishtuki? Anayesema ni Sheikh ambaye anayaona! Na madhumuni ya karate na vikundi hivyo anajua fika sio anaasimuliwa! Hayo ndiyo mafunzo ya ugaidi! Kwa sasa hivi wanaleta rabsha misikitini na baadaye ndo wanachoma makanisa! Fungua macho uone!
 
Tutayasikia mengi maana akina mohamed said wanafundisha chuki na kupandikiza uhasama, wafuasi wake kule

kwenye mjadala unaomuhususu mohamed utawaona tu kila waendako ni wapenzi na washabikiaji wazuri wa tabia na

matukio ya kigaidi. kwao amani na utafutaji wa amani ni nadra kuongelewa. watanzania wataishi kwa amani pale tu

tutakapoungana wote bila kujali dini zetu kuitafuta amani ya kweli na kuwatokomeza wale wote wanaotumia makanisa,

misikiti na siasa kutuweka matatani akiwamo mohamed said, anayetumia kivuli cha historia kuwachochea baadhi ya

watanzania kuwachukia wengine akijenga hoja juu ya mfumo wa kufikirika -mfumo kristo, Necta, MOU nk Huyu mzee

nichimbuko lingine la chuki baina ya watanzania kwa hoja za kitapeli na kinafiki.
ukoo wangu una watu wa imani tofauti, waislamu na wakristo, hakuna hata upande mmoja wenye sifa mnazotaka kutupotezea nazo muda Humu Jamvini na kwa uhakika UGAIDI hauna maana moja kila mtu aweza tafsiri kadri ajuavyo, na ndiyo maana hata nchi za magharibi na asia zinatuhumiana kila mmoja ni gaidi, kumbukeni hata MANDELA wakati anapigania uhuru wa Afrika Kusini wazungu walimuita gaidi, So ugaidi si wa dini moja na hauna uhsiano wowote na dini. Sikatai kuwa ndani ya tanzania kunaweza kuwepo vikundi vya kigaidi lakini napinga kwa nguvu zote kauli kama waislamu ndo magaidi, kufanya hivyo ni kudhalilisha dini ya watu ambayo kupitia kwayo wanapata rehema za muumba ambaye ndiye muumba wa wakrito na dini zingine zote.
 
Mkuu, Karate inayofundishwa misikitini! Wewe hishtuki? Anayesema ni Sheikh ambaye anayaona! !

Ulitaka wakafundishwe kanisani?
Kwahiyo kumbe shehe akisema tuu tayari unasadiki, kwanini usifike mwenyewe na kujionea? Unaishia tuu kudandia treni kwa....
Usishushe hadhi yako kwa upofu wa kishabiki..
 
Mkuu, Karate inayofundishwa misikitini! Wewe hishtuki? Anayesema ni Sheikh ambaye anayaona! Na madhumuni ya karate na vikundi hivyo anajua fika sio anaasimuliwa! Hayo ndiyo mafunzo ya ugaidi! Kwa sasa hivi wanaleta rabsha misikitini na baadaye ndo wanachoma makanisa! Fungua macho uone!

Kwa hiyo magaidi wote lazima wajue kareti?
 
Nini maana ya utamaduni au asili ya karate!, wapinawapi utamaduni wa mwarabu kuwakarate, siwao ni majambia/swords/samlai. karate/shotocan=japani, kungfu/matuat=china, judo= america, combat=cuba, taiquondo,tantu,gojuru=korea,tailand, kick boxing=kote
 
Ritz upo sawa kabisa humu ndani ni mifumo ndio mingi na hawapend uislam na hizo zote ni chokochoko na chuki juu ya uislam tu. bn wenyewe wana vituo vya mafunzo huko moshi sisi hatusemi ila wao tu!
 
Last edited by a moderator:
kwann wasijifunzie kwenye madojo wakajifunzia misikitini kama si ugaidi huo ni nini sasa,acha kutetea ujinga mkuu,tunapozungumzia mambo ya kitaifa lazima tuweke itikadi zetu za kidini au za kisiasa pembeni


Hata marehemu Bluce Lee nasikia naye alikuwa Gaidi alikuwa bingwa wa Kareti.
 
We kweli msema ovyo na angalia usije sema ovyo ukajikuta unamtongoza hata mama yako....
Mbona kila kitu anachofanya muislam kwenu kinawakera sana? Mwambie na baba yako aanze kujifunza karatee hata anapokua na mwenziwake chumbani....yani hamuoni vichaka mimavi inawabana.....au hina cha kupost? Post hata kama mimavi ikikubana
 
Hata marehemu Bluce Lee nasikia naye alikuwa Gaidi alikuwa bingwa wa Kareti.
kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa misikiti ni sehemu sahihi kujifunzia kareti? Jaribu kuwa mkweli mkuu,jamii ikuelewe.
 
Ulitaka wakafundishwe kanisani?
Kwahiyo kumbe shehe akisema tuu tayari unasadiki, kwanini usifike mwenyewe na kujionea? Unaishia tuu kudandia treni kwa....
Usishushe hadhi yako kwa upofu wa kishabiki..

Baereze baelewe watu hapa jf bila kutaja uislamu siku haiendi lakini uislamu utakuwepo na utaendelea kuwepo mpaka kiama kikisimama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom