Naomba kuuliza haya mazoea aliyonayo Rais wetu ya kukumbatiana na watu hayahatarishi kweli usalama wake? Hasa enzi hizi za zama za ugaidi (suicide bombers na Biological weapons terrorism) au kwa vile nchi yetu ni kisiwa cha amani?
Imekuwa ni mazoea kuona mara kakumbatiana na wasanii, marafiki zake wa zamani, wanaorudi CCM kutoka upinzani na watu wengine wengi.
Yes tunajua ana kikosi chake cha kumlinda lakini sidhani kama muda wote wanakua stand by maake wakumbatiaji wengine huwa wanatokea kwenye mikutano yenye watu wengi ambapo sidhani kama huwa kuna security check up in advance.