Usajili wa ndoa Tanzania kwa aliyeoa mgeni

Albert000

Member
Dec 12, 2022
63
47
Habari zenu wakuu,

Naomba muongozo mchumba wangu ni raia wakigeni na anaruhusiwa kuingia hapa Tanzania na free visa sasa nataka akifika hapa nimuoe je nitaluhusiwa kama yuko na free visa entry Asanteni.
 
Unataka kuoa au unataka kumtengenezea permit na Uraia kwa gia ya ndoa?

Kuwa muwazi kwanza kwenye hili ili uelekezwe.
 
Back
Top Bottom