Usainishaji wa mikopo first year!

CB227

Member
Apr 12, 2011
43
5
Wakuu jamvini kuna mdogo wangu 1st year amepata mkopo lakini jina lake halionekani kwenye orodha ya majina yaliyotumwa kwenye chuo chake amejaribu kufuatilia ofisi ya mikopo chuoni hapo akaambiwa kuna batch nyingine itatoka,wenye uzoefu tafadhali utaratibu umekaaje katika hili?
 
Ndio ni kweli kuna wanafunzi kama alfu mmoja waliopata mkopo awamu ya pili, majina yao bado hayajapelekwa vyuoni. Ila ndani ya wiki itayo anza watayapeleka. Asiwe na wasiwasi kuhusu hilo..
 
Ndio ni kweli kuna wanafunzi kama alfu mmoja waliopata mkopo awamu ya pili, majina yao bado hayajapelekwa vyuoni. Ila ndani ya wiki itayo anza watayapeleka. Asiwe na wasiwasi kuhusu hilo..

Akhasante mkuu!Nilijua dogo anatuletea hadithi za sungura na fisi,shukrani kwa confirmation .
 
Back
Top Bottom