Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

Nmegundua naweza kuwa nabishana na wale usije kwny interview barua yako ipo.. au wale mliokua mnajitolea mkapewa pande so mnaogopa interview itafutwa kama ile ya TRA!?
Dogo mie nimepiga interview utumishi,tukiwa watu 800,duce hapo nikasepa na Kijiji nikaongoza kwa 85%marks written,nikapiga oral maktaba complex nikasepa na Kijiji,80%marks,Nikaingia mzigon.sikujitolea wala kubebwa ni uwezo,so relax endelea kupambana,siku yako ikifika utapata🙏
 
Hongera sana.. atlst enzi za duce mlikua mnafanya interview sio sasa hv mtu hafany written lakn jina unaliona kwny oral
 
Kama Kuna sehem kuna rushwa kali ya ngono ni hapo WCF,pale ofisn kwao ukiingia utajiuliza hapa ni bar au sehem ya kujiuza watu,full vichupi,majibu yao sasa kama una shida ndio balaaa kabisa
 
Daaah my dear acha tu,yaniiiii mmmh ka passmark kamenikata nikasema bdo kdogo Tu npo kwnye ka 50 na kitu ivi but wamechukua mwsho 55 but nkasema this is not meant for me nakujipa moyo kazi yenyewe ni 1 year contract , hamna namna my dear acha tusubiri ndo kwanza vita inaanza...sema ss wngine kozi zet mpk tuone tangazo la kazi sjui lini tena
 
Hizi kazi za utumishi nilichojifunza ukishafanya written usiwe na high expectations sana we shona halafu tulia, anything can happen so chochote kitakachokuja huna budi kukubali siku bahati yako ikifika basiiiii itakua imefika..Aluta continua
 
Sijawah pishana na uwezo wangu wa kufikiri.. bachelor yangu ya miaka minne sijawah supp nije kushndwa pepa ya maswali manne yanayouliza maana, objective, elements za taasisi husika!? Tanua fikira mkuu
Tanua fikra we mwenyewe uliyeshindwa kupata maski 52 😏

Ujiniazi wa chuo unauleta mtaani? Kila la kheri.
 
Nmegundua naweza kuwa nabishana na wale usije kwny interview barua yako ipo.. au wale mliokua mnajitolea mkapewa pande so mnaogopa interview itafutwa kama ile ya TRA!?
Umeisema ya TRA, unaijua ya TAKUKURU? Kule kuna watu walienda kureport tu sio kufanya interview
 
Kama Kuna sehem kuna rushwa kali ya ngono ni hapo WCF,pale ofisn kwao ukiingia utajiuliza hapa ni bar au sehem ya kujiuza watu,full vichupi,majibu yao sasa kama una shida ndio balaaa kabisa
Nawajua sana na hawajui chochote kuhusu kazi.. mara ya kwanza nilihisi ni mimi tu
 
Daaah my dear acha tu,yaniiiii mmmh ka passmark kamenikata nikasema bdo kdogo Tu npo kwnye ka 50 na kitu ivi but wamechukua mwsho 55 but nkasema this is not meant for me nakujipa moyo kazi yenyewe ni 1 year contract , hamna namna my dear acha tusubiri ndo kwanza vita inaanza...sema ss wngine kozi zet mpk tuone tangazo la kazi sjui lini tena
Mungu ni mwema private zitatuokoa😅
 
Hizi kazi za utumishi nilichojifunza ukishafanya written usiwe na high expectations sana we shona halafu tulia, anything can happen so chochote kitakachokuja huna budi kukubali siku bahati yako ikifika basiiiii itakua imefika..Aluta continua
Cemented reply
 
Dogo mie nimepiga interview utumishi,tukiwa watu 800,duce hapo nikasepa na Kijiji nikaongoza kwa 85%marks written,nikapiga oral maktaba complex nikasepa na Kijiji,80%marks,Nikaingia mzigon.sikujitolea wala kubebwa ni uwezo,so relax endelea kupambana,siku yako ikifika utapata🙏
Matokeo ya oral walikua wanatoa zamani?
 
Tanua fikra we mwenyewe uliyeshindwa kupata maski 52 😏

Ujiniazi wa chuo unauleta mtaani? Kila la kheri.
Knowledge ya mtaani kwny interview za utumishi inakaa kwa wapi nionyeshe.. bado unahitaji kukariri na kudeliver kama ulivyokua school tu
 
Umeisema ya TRA, unaijua ya TAKUKURU? Kule kuna watu walienda kureport tu sio kufanya interview
Hao ndio hata usiwaongelee bro.. hii ya juzi walioenda inasemekana kila mtu ana ndugu polisi au takukuru penyewe.. watoto ambao wazazi wetu walikimbia umande kazi tunayo
 
Kwani oral si leo 23/5
Si nilisema tunachat na bamkubwa kanituma humu.. nafkr unajionea.. huyo inawezekana tayari ana barua ya kuriport wakat wenzake wanaenda kubanwa kingereza kwny oral😂.. maana hajui hata oral lini
 
Meaning of wcf
Objective of wcf
Elements za wcf comparing na other workers compensation funds universally yani
Na lingne nmesahau.. ila hakukua na swali la kufkrisha
Kama huu ndiyo mwandiko wa mwenye degree, hakika una haki ya kufeli!
Hivi nyiye watoto mkoje hasa siku hizi??
 
Hongera sana.. atlst enzi za duce mlikua mnafanya interview sio sasa hv mtu hafany written lakn jina unaliona kwny oral
Siku zote ukikwama hauwezi kukosa sababu ya kutetea kukwama kwako.

Wengi huwa wanalalamika sana pindi wakikwama kwenye interview za Utumishi, ila siku akisonga mbele ndio atagundua kuwa alitakiwa kufanya juhudi.

Endelea kufanya juhudi, utapita kwenye hizo hatua na utaweza kupata nafasi ya kazi.
 
Kama huu ndiyo mwandiko wa mwenye degree, hakika una haki ya kufeli!
Hivi nyiye watoto mkoje hasa siku hizi??
Sijaona shida ukizingatia ni social media sipo kwny harakati za kutunga kitabu au kuandika mashairi mkuu.. mwandiko wa nini!?
 
Back
Top Bottom