Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi 2013

Malengo Jr

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
287
99
Jeshi la polisi nchini limetoa orodha ya vijana wa kidato cha 4 wa mwaka 2012 na wale wa kidato cha 6 wa mwaka 2013 walioitwa kwenye usaili wa kujiunga na jeshi hilo. Vijana hao ni miongoni mwa wale waliojaza selform kabla ya kuhitimu masomo yao. Kujua kama wewe ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili, tafadhali tembelea website ya jeshi hilo ambayo ni; www.policeforce.go.tz
 
hivi ni atua zipi kuaply JWTZ?,maana mwakani nataka kujiunga nina taaluma ya h.laboratory!nijulisheni please!
 
wakuu hebu niangalizieni Steven Muhando maana simu haina uwezo wa kufungua please

thanks....
 
wakuu vp!,kuna pia tulio omba hizo nafas kwa kujaza form ya walio hitimu chuo!


Wale wenye digree mtaitwa kwenye usaili makao makuu ya jeshi DSM. Kwasasa bado hawajatoa orodha ya walioitwa kwa wenye digree, 2kipata taarifa 2tafahamishana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom