Usaili kwa walioomba kazi TEMDO, utumishi wametoa majina

Ngowi Junior

Senior Member
Aug 4, 2014
102
38
Habari wakubwa, kwa walioomba kazi mbalix2 zlizotangazwa na utumishi kwa niaba ya TANZANIA ENGINEERING AND MANUFACTURING DESIGN ORGANIZATION (TEMDO), Majina kwaajili ya usaili yamewekwa kwenye web ya utumishi ama waweza anngalia hapa chini.
 
Back
Top Bottom